Mkuu niliagiza toka dubai sasa ndo mtihani hapo
Kioo bei ya Tecno mpya ya kiwango kizuri
Mkuu kwa huku bongo ni 250,000 nimepewa hyo bei. Ila dubai ni rahisi kidogo
Basi kama uliweza kugiza simu ungeagiza na spea pia.Tatizo la kunywa maji ya Uzazi hilo