Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,210
- 27,268
Swali lilikuwa lipo straight tu, amejulikana baada ya ajali? Na kama ni kabla mbona hakuwa kuja kumzungumzia huku na hayo matendo yake? Huu uzi una uongo mwingi sanaWewe ndio huelewi unataka uambiwe ule ulinzi pale moi wodi namba 3 ulikuwa wa Nini? Na yule walie mkata miguu akarudishwa makumbusho ilikuaje Kaka tulia.
Hajafa yupo Hai anaendelea na matibabuKimsingi huyu jamaa alipata ajali kweli na aliumia miguu vibaya na jicho hayo ya kufa sina ushahidi
Mbona marehemu husifiwa pindi wakifa? Kusema maovu ya mtu pindi kapatwa na majanga siyo lazima waseme kablaSwali lilikuwa lipo straight tu, amejulikana baada ya ajali? Na kama ni kabla mbona hakuwa kuja kumzungumzia huku na hayo matendo yake? Huu uzi una uongo mwingi sana
Tayari bado?Nawewe siunyamaze yaishe mimi naanza
Yaani hakuna hata member mmoja aliyehudhuria???? Maana kuna wati wanasema wanamfahamu lakini wao hawana uhakika kama mchizi kweli alifariki dunia... Ngumu sana kuaminiUkiona hivyo ujue kwenye mazishi yake kulikuwa na marufuku ya kupiga picha, ili kuficha hili tulio, huoni ndugu kaandika RIP dad, kuonyesha kuwa katika hao wawili mmoja hatunaye tena.
kitu gani upuuziUpuuzi mtupu
manini yanatisha kiongoziYanatisha kama nini.
umeolewa lini madam ,mbona kama ndoa imeshakushinda?Huo mda wa kumtafuta mwanaume mwenzako kwann usiutumie kumridhisha mkeo.
Matukio.manini yanatisha kiongozi
umeolewa lini madam ,mbona kama ndoa imeshakushinda?
Bado yupo hai ni mzimaTupeni mrejesho wakala wa Lucifer mtoa roho anapumulia oxygen au washachomoa betri kama imeisha chaji
Basi kuna tofauti ya huu Ukoo wa Nyaulingo, ninaowajua kkina Josephine Nyaulingo wa Dodoma walishafiwa na Baba yao, sasa huyu huenda akawa mtoto au Baba mdogo wa huko IringaBado yupo hai ni mzima
Tupeni mrejesho wakala wa Lucifer mtoa roho anapumulia oxygen au washachomoa betri kama imeisha chaji
Kama angekuwa senior spy basi angekuwa huko China,Japan,Korea,USA,Israel ili kuufanyia kazi huo u spy wake kwa kuiba teknolojia na kuileta hapa bongo. Hawa wa bongo ni just "security guys"Angekuuaje senior spy ☻
Basi kuna tofauti ya huu Ukoo wa Nyaulingo, ninaowajua kkina Josephine Nyaulingo wa Dodoma walishafiwa na Baba yao, sasa huyu huenda akawa mtoto au Baba mdogo wa huko Iringa