Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Wewe ndio huelewi unataka uambiwe ule ulinzi pale moi wodi namba 3 ulikuwa wa Nini? Na yule walie mkata miguu akarudishwa makumbusho ilikuaje Kaka tulia.
Swali lilikuwa lipo straight tu, amejulikana baada ya ajali? Na kama ni kabla mbona hakuwa kuja kumzungumzia huku na hayo matendo yake? Huu uzi una uongo mwingi sana
 
Swali lilikuwa lipo straight tu, amejulikana baada ya ajali? Na kama ni kabla mbona hakuwa kuja kumzungumzia huku na hayo matendo yake? Huu uzi una uongo mwingi sana
Mbona marehemu husifiwa pindi wakifa? Kusema maovu ya mtu pindi kapatwa na majanga siyo lazima waseme kabla
 
Ukiona hivyo ujue kwenye mazishi yake kulikuwa na marufuku ya kupiga picha, ili kuficha hili tulio, huoni ndugu kaandika RIP dad, kuonyesha kuwa katika hao wawili mmoja hatunaye tena.
Yaani hakuna hata member mmoja aliyehudhuria???? Maana kuna wati wanasema wanamfahamu lakini wao hawana uhakika kama mchizi kweli alifariki dunia... Ngumu sana kuamini
 
Back
Top Bottom