“Leo (jana) Ukawa tumeleta madiwani kutoka Zanzibar na wamefikia 36, CCM wao wanao 31 na CUF 14. Kwa namba hiyo bado tumewazidi. Wakiamua tufuate taratibu za uchaguzi tutashinda na wakiamua tupindishe mambo na kuingiza Wazanzibari pia tutawashinda,”
Hapa ile tafrani kama ya Tanga yaweza tokea, ila kuzuia hilo jambo lisitoke nashauri kuwa kura za hapo wasiokuwa upande wa chama tawala ziwe za wazi.
Wafanye juu chini kuwepo na utaratibu wa wao kupiga kura za wazi, hilo linaweza saidia.