Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,227
Hivi huyu si ndiyo mtoto wa mbuge wa zamani wa Rungwe? Nakumbuka alipachikwa pale Rungwe Secondary bila kufauru halafu baba yake alipopata tu Uwaziri akataka ahame akasome ilboru shule ya watoto wa vigogo na akaitosa shule kwanza aliyopachikwa pili iliyokuwemo kwenuye jimbo lake la nyumbani ambalo baba yake ni mbuge.
Dogo usirudi tukuyu baki huko huko Kinondoni
Hivi huyu si ndiyo mtoto wa mbuge wa zamani wa Rungwe? Nakumbuka alipachikwa pale Rungwe Secondary bila kufauru halafu baba yake alipopata tu Uwaziri akataka ahame akasome ilboru shule ya watoto wa vigogo na akaitosa shule kwanza aliyopachikwa pili iliyokuwemo kwenuye jimbo lake la nyumbani ambalo baba yake ni mbuge.
Dogo usirudi tukuyu baki huko huko Kinondoni
Mwongo wewe....Subiri Mtanzania arudi maana ndo anakuweza wewe..ukongoroke kwa jina la yesu
Naona sasa tunaanza kupika zengwe badala ya kujadili issues. Kama jamaa ni kilaza alipachikwa tu Rungwe sekondari, ilikuwaje mpaka akasoma huko alikosoma, au nako baba yake alimpachika kwa kuwa alikuwa mbunge, balozi na waziri? Nafuatlia habari za huyu jamaa lkn so far naona km baba yake si mtu wa namna hiyo(at least bado sijasikia scandal zake), na yeye mwenyewe anaonekana kama ni mtu wa kawaida sana na binadamu wa kawaida tu. Sio kama wale wanaovaa nyadhifa za baba zao.
Ni vizuri tukijadili issues na siyo kuanza majungu.
Ukweli unauma sana eeehe. Mimi nilitaka kusema kuwa huyu ni wale wale tu na ndiyo maana akakimbilia CCM. Mtanzania tunamsubiri sana arudi huku tuendeleze javi, 2015 anaweza kupata ubunge ni mtu mzuri -kutumwa tu!
Nani aliyekuambia kuwa waliofeli Darasa la saba hawana akili? mbona wako wengi tu na wengine ni maprofesa? Mimi nilitaka kufikisha ujumbe kuwe huyu ni wa kizazi kile kile cha typical wana CCM waliotayari kupindisha sheria wakiwa na madaraka. KWeli yeye ni binadamu wa kawaida sidhani kama kuna siku urifikiria kuwa alikuwa malaika. Fuatilia mpaka south Africa ndiyo utajua kazi aliyoifanya baba yake. Zile nyumba kama wangezijenga (yeye na viongozi wa awamu ya tatu)hapa ingalau zingechangia uchumi wetu.
Mkuu what you have said is actually a fact, binafsi sikuona umuhimu wa kuongelea hili ndani ya huu mjadala lakini as part of vetting naona kuna haja Mtanganyika na wanaccm wa Kinondoni wakafahamu. Hasa ukizingatia mgombea anajitangaza kwa msisitizo thru academic achievements. Anyways kama kuna mtu ni mwanaccm wa Kinondoni na in anyhow ata - attend hiyo mikutano ya kampeni amuulize Mpoki the following.
Je alipomaliza Arusha school alifaulu kwenda shule gani?????????? Na ni kwa nnini alihama shule hiyo na kwenda Rungwe sec.??????
Mpaka sasa imethibitika kabisa kuwa wanaojiita wapiganaji ndani ya CCM si lolote si chochote kwani wanapowekwa kiti moto kwenye vikao vya chama wananywea kama wamemwagiwa maji baridi. Wabunge wa CCM pamoja na kupayukapayuka ndani ya Bunge hali inakuwa tofauti pale wanapovua suti zao na kuvaa nguo za kijani - inakuwa ni unafiki kwa kwenda mbele. CCM imejaa wasomi wa fani zote tangu maprofesa wa siasa hadi madaktari wa sheria, tangu wachumi hadi wahandisi na tangu wataalamu wa kilimo hadi wasanii - je ni kitu gani kinawasukuma hadi wote wasahau wajibu wao kwa wananchi ? Jibu ni kuwa Chama kimetekwa nyara na watu ambao maendeleo ya taifa la Tanzania si kipaumbele tena kwao na wamewageuza viongozi wetu kuwatumikia badala ya sisi. Hivyo mtu mwenye uchungu kabisa na hili taifa na mwenye lengo la kulikomboa kutoka mikononi mwa hawa mafisadi hawezi kufanikiwa kwa kujiunga na CCM, period.
Kwanini wasiulize masuali yanayihusu issues muhimu, kama alisoma Muhimbili, upanga, kitope whatever how is it going to help Kinondoni? Kama alisoma kwa jia ya mkato itawasaidia nini? Hata kama baba yake alifanya ujanja, can we hold him accountable for what his dingi did when he was 12? isn't it pathetic?
Hata kama baba yake alifanya ujanja, can we hold him accountable for what his dingi did when he was 12? isn't it pathetic?
Kwa mara nyingine, naheshimu mitazamo ya pande zote mbili za shilingi. Kwa wale mnao hoji elimu ya darasa la saba, nadhani ni haki yenu ya kimsingi kujadili au kwa wale mnaohoji elimu yake ya juu ya uchumi pia mnahaki hiyo.
Lakini mwisho wa siku tujiulize swala moja tuu? Jee are we going to be better off with the same suit? Same people who put Tanzania in the deep hole to begin with? Or we're going to hire new driver who will take us out of this deep hole?
Kwa wale ambao bado mnaamini kwamba CCM ni wale wale tuu tofauti ni rangi za mashati, ukweli ni kwamba ni CCM hiyo hiyo iliyo mzaa Mwakyembe ambae ni shujaa wa kila mwanapinduzi. We're the new youth.... " The new youth of Africa is not the survile youth of yesterday.In many ways he is more conscious of his political responsibility" (Prof A.M Babu in his book African Socialism or Socialist Africa).
My reason to quote the above statement is the fact that, Tanzania ya leo inavijana wenye njaa ya maendeleo, iwe kijana kama Mpoki au Mnyika au Zito au January, vijana hawa wote wana njaa ya maendeleo. Ndugu yangu Mtanzania, kijana mwezangu ni muda wa kusimama kidete na kuchagua vijana ambao tunashare nao views, vijana wenye vigezo na taaluma, vijana ambao wanaamini check and balance should be part of us. Vijana ambao wana elewa kwamba katiba yetu inampa raisi rungu kubwa sana, vijana ambao wanafahamu kwamba Makatibu wa Wizara wanapewa fedha lakini hawaambiwi walete matumizi, Vijana ambao wanaelewa kwamba Magereza yetu yamejaa watuhumiwa ambao wengine wamefungwa bila kufuata utawala wa sheria. Vijana ambao wanaelewa kwamba Kuomba Omba Ulaya sio njia Mbadala ya kusolve matatizo. Vijana wanaofahamu maana ya Fiscal responsibilities. Vijana wanaolewa kwamba thamani ya VX inaweza kuleta dawa jimboni kwangu na kina mama wakafaidika. Vijana ambao wanafahamu kwamba mfumo wetu wa elimu ni tasa na umejengwa ili ubomoke.... Vijana ambao wanafahamu madeni yatatufikisha pabaya. Vijana wanaofahamu kwamba Bank Kuu inatiji uhuru wa kusimama pekeyake na ikatazama mfumo wa fedha na serikali ikatazama mfumo wa kodi. Vijana ambao watasema No kwa wahisani na Bank Ya dunia. Vijana ambao watahoji nguvu ya bunge..... Tunaitaji Vijana kama Mpoki... Kuchagua Mpoki kwa kinondoni ni atua moja.... Aluta continua
Ni muda wa kufukuza wazee walioshindwa ambao wametufikisha hapa tulipo, hakuna wakati wa kupoteza. We already lost 47 ( the other two was to learn system) years kwa kufanya upuuuzi. Tuchagueni vijana wenye vigezo vya kuchaguliwa. Chagua Mpoki
Mkuu what you have said is actually a fact, binafsi sikuona umuhimu wa kuongelea hili ndani ya huu mjadala lakini as part of vetting naona kuna haja Mtanganyika na wanaccm wa Kinondoni wakafahamu. Hasa ukizingatia mgombea anajitangaza kwa msisitizo thru academic achievements. Anyways kama kuna mtu ni mwanaccm wa Kinondoni na in anyhow ata - attend hiyo mikutano ya kampeni amuulize Mpoki the following.
Je alipomaliza Arusha school alifaulu kwenda shule gani?????????? Na ni kwa nnini alihama shule hiyo na kwenda Rungwe sec.??????
Hivi huyu si ndiyo mtoto wa mbuge wa zamani wa Rungwe? Nakumbuka alipachikwa pale Rungwe Secondary bila kufauru halafu baba yake alipopata tu Uwaziri akataka ahame akasome ilboru shule ya watoto wa vigogo na akaitosa shule kwanza aliyopachikwa pili iliyokuwemo kwenuye jimbo lake la nyumbani ambalo baba yake ni mbuge.
Dogo usirudi tukuyu baki huko huko Kinondoni
Mtanganyika said:My reason to quote the above statement is the fact that, Tanzania ya leo inavijana wenye njaa ya maendeleo, iwe kijana kama Mpoki au Mnyika au Zito au January, vijana hawa wote wana njaa ya maendeleo. Ndugu yangu Mtanzania, kijana mwezangu ni muda wa kusimama kidete na kuchagua vijana ambao tunashare nao views, vijana wenye vigezo na taaluma, vijana ambao wanaamini check and balance should be part of us. Vijana ambao wana elewa kwamba katiba yetu inampa raisi rungu kubwa sana, vijana ambao wanafahamu kwamba Makatibu wa Wizara wanapewa fedha lakini hawaambiwi walete matumizi, Vijana ambao wanaelewa kwamba Magereza yetu yamejaa watuhumiwa ambao wengine wamefungwa bila kufuata utawala wa sheria. Vijana ambao wanaelewa kwamba Kuomba Omba Ulaya sio njia Mbadala ya kusolve matatizo. Vijana wanaofahamu maana ya Fiscal responsibilities. Vijana wanaolewa kwamba thamani ya VX inaweza kuleta dawa jimboni kwangu na kina mama wakafaidika. Vijana ambao wanafahamu kwamba mfumo wetu wa elimu ni tasa na umejengwa ili ubomoke.... Vijana ambao wanafahamu madeni yatatufikisha pabaya. Vijana wanaofahamu kwamba Bank Kuu inatiji uhuru wa kusimama pekeyake na ikatazama mfumo wa fedha na serikali ikatazama mfumo wa kodi. Vijana ambao watasema No kwa wahisani na Bank Ya dunia. Vijana ambao watahoji nguvu ya bunge..... Tunaitaji Vijana kama Mpoki... Kuchagua Mpoki kwa kinondoni ni atua moja.... Aluta continua
Naam this is wht everyone would think, lakini for a guy anayeamua kutembea na vyeti kwenye kampeni as a proof for his qualifications naamini kuna haja basi ya kufahamu the whole background kuhusu hiyo academic achievements. Well this might sound too personal au some sort of character assasination lakini don't we see tht voters have a right to know kuhusu full academic background ya mgombea aliyesoma sana na anatembea na proof of that?
I am just curious kama Mpoki has been outside for some years atakua na tofauti gani na January Makamba, Lawrence Masha, etc... Pia niko concerned na hiyo term ya comon Joe, especially coming from a person presiding in the US... wale wa wanging'ombe, malampaka na mashikolomageni wanawaona hivyoNikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.
Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.
His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.
Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.
Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.
What makes you think Mpoki is not the same suit? same party, same circles (baba balozi na kada wa siku nyingi wa chama) no istinction in achievement, shallow minded to the point of walking with his paper qualifications perhaps in view of lacking any other qualifications.
Kwa nini unafikiri huyu mtu atafanya chochote tofauti ? Nipe sababu za msingi, nakusubiri.
Kama tatizo ni uzee mbona tuna vijana kina Lau Masha, Adam Malima na Emmanuel Nchimbi? Wamefanya nini ?