Ahsante mkuu kwa kunisaidia kuuliza maana nilisha wahi kujiuliza mara kibao hadi nikapoteza uzito wa swali husika.Nakingine hivi unapaswa uwe na sifa zipi hadi uwe miongoni mwao?mbona mihoja yao yote sioni kama inamaslai kwa taifa zaidi kutumika kama mi speaker ya mafisadi,Hivi nikweli tunaota na kuamini kiongozi wakulitoa taifa lilipo atatoka kwenye kundi la hawa manyang'au?kama ndivyo najìhisi kupoteza matumaini ya kuishi.Kama kweli tunataka kukiona tunacho kitamani kitokee Tanzania CHADEMA ndilo 2maini pekee la watanzania kama wazalendo wakweli tunapaswa kuwatia moyo viongozi wakuu ,kushiriki vikao ,kuchangia michango kwa moyo na kwa kadili tuwezavyo. Kwahali ilivyo huku kitaa hata wale tulio amini wamenyweshwa maji ya bendera sasa wana yatapika.Vijana na wanaharakati wa ukweli 2cmame imara kuikomboa inj yetu na 2ctegemee hawa mapu**mb**fu kua watalikomboa taifa.
Kingunge ni kamanda msimamizi wa maslahi ya mafisadi ndani ya u-vccm,hivyo yuko pale kwa maslahi binafsi.yake na ya wale wanaomhifadhia faili la ubungo terminal........