kama wewe ni kijana na ukijiangalia kwenye kioo huoni kuwa ni handsome basi ujue ukizeeka ni balaa ,si unamuaona alivyokuwa HB mzee kala bata sana huyoDah kweli Ujana Maji ya Moto! ila Bora yake Maisha ya Kidunia kapata na kayafurahia na hata Watoto wake Kina Kinjekitile wanafurahia Nguvu na akili ya Baba yao ya Ujanani.
Kwahiyo watu wakizeeka wanasinyaa?
HapanaKwahiyo watu wakizeeka wanasinyaa?
siku ukiacha mataputapu kinakwisha chote.si wote,mimi nina miaka 95,lakini kitambi bado kipo,,,na pia hata shavu bado limenona
Nafikiri alimaanisha ukilinganisha na alivyo hivi sasaHiyo ni sura ya mtu kijana kweli?
Kijana ana mvi hapo jamani?
Subiri kidogo, ukizeeka utang'amua maisha ni safari fupi sana.Maisha ni safari ndefu sana
Unachekesha.Ulitaka aseme kingunge akiwa mzee? Sasa ndio mzee, akikunjika mgongo na kutembelea mkongojo ni kikongwe
Kuuumbeee ....Subiri kidogo, ukizeeka utang'amua maisha ni safari fupi sana.
Haswa.Kuuumbeee ....