Kingee cha Gigy money

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,466
Aiseh mpaka sijaamini, nimeona video insta gigy akimwaga kingee, yan nikashangaa utadhan sio yeye , gigy anajifanyaga chizi but kichwani kidogo zimo, japokua anachanganya tense but she is so articulate , akijitahidi atafika mbali, hongera zake
 
Unamdomo kama youngkacha🤣🤣, nimekwambia tuma vocha inbox , nimekupa interview ndogo tu unashindwa, mxieeew unataka mambo mazuri pesa huna , nipishe mie
Ahahahahhaahh
 
Aiseh mpaka sijaamini, nimeona video insta gigy akimwaga kingee, yan nikashangaa utadhan sio yeye , gigy anajifanyaga chizi but kichwani kidogo zimo, japokua anachanganya tense but she is so articulate , akijitahidi atafika mbali, hongera zake
Kuongea kiingereza ndio kichwani zimo?
 
Wanaume wa Dar utawajua tu. Sasa hii ni habari mpaka uilete huku.!!??? Umbea utakuja kuwaua kichwa maji ww.
Lakini kila warumi akiweka mada lazima ukimbie mbio mbio kuja kusoma.

Wabongo kwa UNAFIKI nawapa 2000%
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…