Kwa kifupi kisimbuzi cha Ting hakina uangavu mzuri wa picha.Ni miaka karibia mitatu sasa tangu niachane nacho na kwenda kwa Azam.Nilinunua 130000tsh Songea.Wakati huo chaneli za bure zilikuwa Agape, TBC na vichanel vya dini.Ila ninachokimisi kutoka kwao ni Dubai One.Hiyo channel ni full series za ukweli.