Pole,hamia digitek..binafsi nimeridhika.
sidhani kama zinafika 20 kaka,na si mpenzi sana wa TV hivyo ni ngumu kukumbuka zote ATN,ITV,EATV,CAPITAL TV,TBC,CH 10,START TV,CLOUDS,AFRICAN SWAHILI(ISLAMIC), nje ni CCTV9,ALJAZEERA,EMANUEL TV,NHK JAPAN,AIRANG**,SETANTANaomba nipe info zaidi kuhusu digitek mkuu, wanasema kuna local channels 10, na za nje pia ni 10, sasa hizo channels ni za aina gani?
Digitek ipo poa tu kwa tunaotaka local channels zote zinapatikana. Mambo ya kugeuza antenna kisarawe hayapo kabisa channel 24 zinatutosha hakuna cha vocha wala nini.
startimes ki - kweli wanajitahidi, ila nao picha inastuck sana kiasi kwamba inapoteza mvuto wa kuangaliahata hao digitek hamna jipya,kwani kwenye hizo chanel za nje hakuna hata moja ambayo ni ya kulipia zote ni free to air,mfano cctv 9,arirang,france 24,aljazeera,hakuna hata moja,ya maana!kwa mtazamo wangu,startimes wana package nzuri kulinganisha na ting,na digitec,sema tatizo lao ni picha kusimama simama,na hata wao unapolipia malipo ni dk 5,tu wanafungua.
ngoja niitafuteDigitek ipo poa tu kwa tunaotaka local channels zote zinapatikana. Mambo ya kugeuza antenna kisarawe hayapo kabisa channel 24 zinatutosha hakuna cha vocha wala nini.
Pole,hamia digitek..binafsi nimeridhika.
mkuu digtek ina channel ngapi?
sidhani kama zinafika 20 kaka,na si mpenzi sana wa TV hivyo ni ngumu kukumbuka zote ATN,ITV,EATV,CAPITAL TV,TBC,CH 10,START TV,CLOUDS,AFRICAN SWAHILI(ISLAMIC), nje ni CCTV9,ALJAZEERA,EMANUEL TV,NHK JAPAN,AIRANG**,SETANTA