Hiki ni cha pay tv au FTA? Sababu ya kuuza ni nini?Vyote ni vipya Bei laki moja kamili
Location ; bunju daresalaam
Simu ; 0744879704
View attachment 1110109
Bro star times na ting kipi bora ati?Dish mbona hakuna au lina kutu mzee
MIMI HUYO"
nafikili hakuna kampuni ya ving'amuzi inayotengeneza ving'amuzi vibovu brotherBro star times na ting kipi bora ati?
Sahihi,nimemanisha ubora wa picha na sauti kati ya hivyo viwili kipi muonekano uko good kwenye picha?nafikili hakuna kampuni ya ving'amuzi inayotengeneza ving'amuzi vibovu brother
#Life is a choice
SawaNi pay TV sababu ya kuuza ni kwa kuwa narudi mkoa baada ya kumaliza college
Mkuu naomba kufahamu tofauti ya PAY TV na FTA kama ulivyoulizaHiki ni cha pay tv au FTA? Sababu ya kuuza ni nini?
Dish bado liko juu sijalishusha Ila ni jipya kabisa halina kitu wala kasoro yeyote
Nlitaka niendelee kubaki mjini ntafute Na tempo hapahapa lakini kwa bahati mbaya kuna maswala ya kifamilia yanayonibidi niludi home Kwanza. Una swali jingineUmevitumia kwa muda gani??Kama ni kumaliza college so unarudi mkoani inamaana Kabla ya kukinunua ulikuwa haujui Kama utamaliza college hv karibuni????