the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 218
Anadhani members wa jf nao ni mabashite..Yan we jamaa umechanganyikiwa nikajua labda ni elfu 10 iyo bei si hata kipya imezidi khaa
Huyu Dalali anakurupuka tu hajui hata bei ya dukaniKing'amuzi kinauzwa full package kuanzia dish waya mrefu,receiver na satellite dish lake, na list kwa TSH 80,000 fixed price
reason ya kuuza nnavyo viwili
0756569650
Dukani imefika bei gani kwa sasa mkuu?Huyu Dalali anakurupuka tu hajui hata bei ya dukani
kuwa msataarabu si lazima ucoment hicho ni king'amuzi cha dish na sio antenna....watz wengi ni wavivu kufikiriHuyu Dalali anakurupuka tu hajui hata bei ya dukani
Dukani sio bei hiyo sasa umeongeza mnookuwa msataarabu si lazima ucoment hicho ni king'amuzi cha dish na sio antenna....watz wengi ni wavivu kufikiri
hizo ni tabia za wasio na hera so nenda kalaleDukani sio bei hiyo sasa umeongeza mnoo
wenye hera wameshanunua dukani kinauzwa 130000Dukani sio bei hiyo sasa umeongeza mnoo
Wewe ungekua unaela ungeuza vitu vya ndani!! Utakua hauna hela na unadaiwa kodi wewe ndio maana unauza dish, ukimaliza dish utaamia TV na kiti ukimaliza unahamia kwenye kitanda.hizo ni tabia za wasio na hera so nenda kalale
sasa vitu vya kwangu afu unanipangia matumizi.....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] what do u expectWewe ungekua unaela ungeuza vitu vya ndani!! Utakua hauna hela na unadaiwa kodi wewe ndio maana unauza dish, ukimaliza dish utaamia TV na kiti ukimaliza unahamia kwenye kitanda.
nyia wanaume wa mkoa hamna pesa sahivi mazao yako shamba...ngoja mvune vurugu tutakomaKipya 45000 yeye 80000 halafu eti karibia na bure ndugu tafuta mtandao mwingine
Hata kiswahili hujui. Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?. Hera =hela... Hujui tofauti Kati ya r na l,wenye hera wameshanunua dukani kinauzwa 130000
Ww kiswahili kinahusiana na niin?Hata kiswahili hujui. Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?. Hera =hela... Hujui tofauti Kati ya r na l,