Sasa jaman continental kifurush cha elfu 11 channel 50 bado wanalalama tuUwe na smart phone ushindwe tv chogo !
Watu mnapenda kujipa ugonjwa wa moyo.nunueni king'amuzi cha Azam
Niuzie cha antennaJamani Mimi ni muathirika wa continental, Niko Moshi. Yaani ni mateso, mwanzo nilikuwa natumia cha antenna, kikawa kinasumbua, nikaenda ofisini kwao wakanambia tumia cha dish. Nimenunua lakini majanga ni Yale Yale. Kina scratch moja kwa moja. Naona hawa jamaa hawakujipanga kufanya biashara hiyo. Sijui nani wa kutusaidia kwa hilo.
Jamani Mimi ni muathirika wa continental, Niko Moshi. Yaani ni mateso, mwanzo nilikuwa natumia cha antenna, kikawa kinasumbua, nikaenda ofisini kwao wakanambia tumia cha dish. Nimenunua lakini majanga ni Yale Yale. Kina scratch moja kwa moja. Naona hawa jamaa hawakujipanga kufanya biashara hiyo. Sijui nani wa kutusaidia kwa hilo.