King'amuzi cha continental ndo mpango mpango!!

Acha kupotosha, kinachagua Channel za kurekodi tena chache mno kama Drama, Morning Star na hakiwezi kurekodi ITV, EATV nk.
 
Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.
Hakirekodi ITV, EATV nk. inarekodi chache mno.
 
Anayeuza kung'amuzi cha azam bila dish, aje pm tufanye biashara,nahitaji kukinunua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…