King'amuzi cha continental mnakera

Mwananjengo

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
317
Reaction score
101
King'amuzi cha continental kilianza vizuri, ili kwa siku za hivi karibuni wameanza kusumbua. Kukata chaneli ovyo, utakuta wameondoa Chanel zote za kitanzania wameacha zingine, wakati mwingine wazifunge kama zakulipia huku hawajatoa jinsi yakulipia. Ukweli Continental decoder haina mvuto tena, wamekuwa wababaishaji sana. Kuanzia mwezi huu tutaanza kulipia lakini hawajaboresha chochote, Mnakera continental
 

Kuskrachi sasaaa.... Utachoka
 
Mbona mimi sina matatizo na star times?
 
Mbona mimi sina matatizo na star times?

Star times nshakitumia hakina shida sana,ila Continental wasanii sana,wanakera kiukweli. unaweza angalia taarfa ya habari wakakata Chanel au wakaweka alama ya $ na hazifunguki alafu hawajatoa njia yakulipia. Continental ni majanga.
 
Najiuliza hivi kweli hawasikii malalamiko ya wateja wao au ndo wale wanasema bora liende kama serikali yetu? Au ni kutojali wateja wao. Sijaelewa kuwa ni kutokujali au nn?
 

Continental ikifika kipindi cha mvua huwa ni majanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…