Kinana: Rais Samia msikivu nchi imetulia

Kwa vituko vya chadema leo CCM itatawala milele .mwambukuzi atakuwa katumwa kuisambaratisha chadema.
Chadema wamejaa Mamluki wa dola na ndio sababu kila move yoyote ya kisiasa, kiuchumi na kijamii lazima waiwahi halafu wanaiharibu kwa makusudi kabisa

Mchakato wa kupinga uwekezaji wa Bandari ulianzishwa vyema sana na Wanaharakati wasio Wanasiasa wakawa wana challenge kwa hoja tu juu ya terms za Mikataba

Mbowe kwa makusudi kabisa akavamia na kuingiza Uzanzibari bila ya sababu ya msingi na hapo Watawala wakapata hoja ya kujifichia ya kulinda Muungano

mara Ghafla Chadema wamerudi tena kuitisha mikutano ya hadhara na kujaza ma Baba Askof kama mikutano ya injili na Jamaa nao wanatafuta akina Shehe. Mwaipopo na mjadala umekuwa tusibaguane kwa dini

Kuna Umakusudi kabisa wa kuvuruga agenda za kisiasa mara tu zikivamiwa na Wanasiasa

wangebaki kina Prof Issa Shivji ma TLS kupiga hoja kwa hoja bila ya kashfa wala upuuzi mwingine

Ujinga huu huu wa Wanasiasa ulivuruga mchakato wa Katiba mpya 2014
 
Futeni na hii. Jf siku hizi 🙆‍♂️
 

Attachments

  • IMG_2186.MP4
    6.3 MB
Mzee kinana yuko sahihi kabisa, watanzania tulipitia hali ngumu sana miaka mitano iliyopita, sasa nchi imetulia, biashara zimerudi kwenye hadhi yake, maisha ya watu yanaendelea kama kawaida kila mwenye kupenda kufanya kazi anafanya kazi yake, wale wavivu wasiotaka kufanya kazi ndio wataendelea kupiga kelelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…