I idrissapande Senior Member Joined Sep 16, 2015 Posts 149 Reaction score 30 Sep 23, 2015 #41 Yaan mgombea wa ukawa kam vle gar bovu linalosukumwa kupanda mlima, hana sifa ya urais kw ss lakn mam2 hayaelew ss subir liwadondokee kabla halijafka juu ukawa wote mtakufa kifo cha mende na babu yenu uyo
Yaan mgombea wa ukawa kam vle gar bovu linalosukumwa kupanda mlima, hana sifa ya urais kw ss lakn mam2 hayaelew ss subir liwadondokee kabla halijafka juu ukawa wote mtakufa kifo cha mende na babu yenu uyo
dakitare Member Joined Aug 22, 2015 Posts 52 Reaction score 8 Sep 23, 2015 #42 Lowasaaa aaaahhh hapana, hata bure hachukuliki.
M makoko jumanne JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 584 Reaction score 164 Sep 23, 2015 #43 Chagua Magufuli kwa maendeleo endelevu
M mayunga56 Member Joined Jul 17, 2015 Posts 42 Reaction score 3 Sep 23, 2015 #44 Ccm no 1.........magufuli n chaguo la watanzania.......
nao JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 1,831 Reaction score 1,941 Sep 23, 2015 #45 Magufuli Mwenyezi Mungu akupe kibali na afya njema.