Kinacholipuka

Ooh hali inaweza kuwa si hali ndugu yangu..vitu vikaanza kusafiri kama vile vya la mboto

Hilo nalo meno maana nsugu yangu ile ilikuwa shughuli nayo!
 
ni ugomvi mdogo tu kati ya mke wa jirani yako na mumewe,kaa chuga usije ukatolewa kafara!
 
Mh! Hapo mtu nimeachwa ubungo, mara sinza,mara kamnyongeni,mara kinondoni,mara mboto du sasa cjui ni wapi hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…