mji ni huko uliko tuu?.taja jina la mji ndg.hii ni JF sio FB.Wanajamii niko hm nasikia milipuko maeneo ya town! Tatizo ni nini?
Wanajamii niko hm nasikia milipuko maeneo ya town! Tatizo ni nini?
Hata mm nimeisikia ila sijajua ni milipuko ya kitu gan..
nyie mbona hamsemi mko mji gani!!mbona mjini kwetu kuko shwariiii!!
nyie mbona hamsemi mko mji gani!!mbona mjini kwetu kuko shwariiii!!
Ukisikia paaaaa ujue imekukosa
oooh kumbe.Haya pumu imefika kwa mkohozi "kadoda".... hm ni maeneo ya sinza!
Nadhani umenielewa Bwana mkubwa "kadoda"
Dah Rogi sijui kwa nini nilivyosoma replay yako nimecheka sana, maana ulivyoongea kwa masikitiko!!