Kinachojiri Arumeru sasa hivi

Wasira ukoma ulishamvuruga ubongo. Ni mtu wa kuhurumiwa tu.
 
Nassari aachane kuzungumzia mambo ya ndoa; tatizo la viongozi wetu siyo kama wameoa au la.

Kwa Arumeru ndoa ni issue sensitive kidogo mkuu. Na kama umefuatilia kwa karibu ni kwamba CCM waliwekeza sana kwenye hiyo hoja - walitaka watu waamini kuwa Nassari ni kiruka njia ndio maana hajaoa! Si umesikia jana Wassira anasema Nassari kaonekana mtaani na mama wa kizungu mwenye umri zaidi ya miaka 60?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…