Kinachofanyika leo

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
6,904
Reaction score
9,832
Utaratibu huu ungekuweko siku zote wa kuruhusu vyama vya upinzani kwenye shughuli za serikali kama uzinduzi wa miradi ya maendeleo basi Tanzania na serikali ya awamu ya tano ingekuwa imepiga hatua kubwa sana.

Ingawa Mimi binafsi sipendi tabia ya kusemelea kwa mabeberu na mabeberu kutuingilia.

By the way Mnyika ameongea vizuri ila makonda kauli zake zinakera.

Magufuli piga kazi hadi muda wako utakapokwisha lakini hakikisha unashirikisha wapinzani namna hii.
 
Mnyika na Kubenea wameongea vizuri sanaa na wakienda kwa Siasa hizi mambo yatakuwa mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…