Kinachoendelea BodaBoda Day na Lowassa

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,325
Picha za kinachoendelea.... muonekano wa picha mtanisamehe.
 

Attachments

  • 1387701021659.jpg
    83.2 KB · Views: 601
  • 1387701055258.jpg
    87.4 KB · Views: 685
  • 1387701108051.jpg
    80.9 KB · Views: 528
  • 1387701159659.jpg
    80.6 KB · Views: 552
Mh Lowassa anaongea sasa...
 
Vijana wanapiga kelele Rais!. Rais!. Rais!!.
 
Anawajibu msinigombanishe na watu jamani.
 
Picha hazijaomesha wingi tulioutegemea!!
 
Katika kufikiria ndio kuwa hapo EL anatafuta muarobaini wa ukosefu wa ajira. Aanze kuurudisha mfumo wa viwanda ambao na Yeye ni sehemu ya kuuhujumu.
 
Jamani jamani, wekeni picha zaidi tujionee hii kitu! Vp muitikio wa watu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Jamaa EL anafanya sehemu ya kampeni hapo
 
Duuu mbona pikipiki za kijiwe kimoja, ajisimbue na bodaboda make wote wapo chadema
 
tatizo watu mnaugomvi na lowasa na chuki binafsi hivyo hata kazi zake hamuoni ujinga,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
hapo ategemee maumivu hela inaliwa na kura hapati chezea CHDEMA wewe. Hapa Arusha tushazipiga za kutosha hongereni bodaboda dar msikatae pesa ila kura yako ndo siri yako
 
kwa wimbo wa rais, rais, ndo hapo nimesikitika kama kweli vijana hawa wanajitambua au basi watanzania tutakuwa wasahaulifu kiasi hicho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…