S SPIN DOCTOR Member Joined Aug 18, 2016 Posts 20 Reaction score 10 Aug 19, 2016 #1 Hivi mshawahi kujiuliza kuwa iweje tuwe na wafanyakazi hewa halafu tusiwe na wastaafu hewa kama vile Polisi na kwingineko? Bona hili la wastaafu hewa waziri wa kazi hataki kuliongelea?
Hivi mshawahi kujiuliza kuwa iweje tuwe na wafanyakazi hewa halafu tusiwe na wastaafu hewa kama vile Polisi na kwingineko? Bona hili la wastaafu hewa waziri wa kazi hataki kuliongelea?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 374,259 Reaction score 866,593 Aug 19, 2016 #2 Angalizo lililosahaulika hili...au kwa makusudi ama kwa bahati mbaya
M MichaelP JF-Expert Member Joined Aug 8, 2016 Posts 219 Reaction score 101 Aug 19, 2016 #3 Wastaafu tangu zamani wanahakikiwa kila baada ya miezi sita
Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,497 Reaction score 62,024 Aug 19, 2016 #4 Inawezekana kabisa kuna watu kila mwezi wakula pensheni za wastaafu hewa, ukiwa na wastaafu hewa wanne tu unakula hadi kifo kinakukuta.
Inawezekana kabisa kuna watu kila mwezi wakula pensheni za wastaafu hewa, ukiwa na wastaafu hewa wanne tu unakula hadi kifo kinakukuta.
S SPIN DOCTOR Member Joined Aug 18, 2016 Posts 20 Reaction score 10 Aug 19, 2016 Thread starter #5 MichaelP said: Wastaafu tangu zamani wanahakikiwa kila baada ya miezi sita Click to expand... wanahakikiwa chi gani? Tanzania au Denmark?
MichaelP said: Wastaafu tangu zamani wanahakikiwa kila baada ya miezi sita Click to expand... wanahakikiwa chi gani? Tanzania au Denmark?