Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
Waziri kivuli wa afya mbona kimya juu ya ufisadi Medical stores?
waziri kivuli wa utamaduni mbona yuko kimya juu ya ufisadi unaoendelea kwenye wizara ya emanuel nchimbi? (serikali kugharamia mazishi ya kanumba, sheria na miswada kuandikwa kwa kiingereza, ripoti muhimu zote kuandikwa kwa kiingereza)
Kwa nini mawaziri vivuli wa Tanzania waliopo sasa wako kimya juu ya mambo mengi?
how hard is it kuita press conference na kuweka public malalamiko ya wananchi?
kama hawa ndio mbadala naona tushakwama kwa sababu wana behave exact way kama wa waliopo madarakani.

Mi nafikiri we huwajui wabunge wa CDM ndo mana unaropoka tu hapa. WE unaishaidi wa hayo uliyoyasema au umesikia vijiweni ndo unataka wabunge wakayaseme? CDM bana, wanaenda kwa facts baaday ya kukusanya taarifa zote muhimu na ushahidi, hawaropoki tu. Kwa hilo mkuu, kajibange upya banaaaa!
We jali ya huko kwenu CCM. Waziri kivuli anakuhusu nini wakati waziri kamili unaye? Halafu unamkejeli Sugu kwa nini? Sugu ana heshima yake kama huamini nenda Mbeya utalijua hilo.Unafahamu kuwa Mbeya ingekuwa nchi siku ile ya machafuko ingekuwa imepinduliwa?mbona watu walitii neno la Sugu ambaye hakuzungumza zaidi ya dakika 10? Kama unauwezo wa kufikiri jiulize hilo.Uroho wa madaraka wa CHADEMA na kuunda serikali peke yao ndio iliyowaponza, wewe hadi SUGU waziri? unafikili atazungumza nini?
wabunge chadema ni ZITTO, MBOWE, LISSU na MNYIKA waliobaki ni ZE KOMEDY
Kiongozi yeyote anayeogopa vyombo vya habari, anajitengenezea tafsri mbaya kwa wananchi. Tunapaswa kujua wanafanya nini, lakini kama ndo ukimya huu sisi tutajuaje? Viongozi wahamasisheni wafanye kazi, na kama wanafanya ni vizuri wakazitoa kwa jamii kupitia vyombo vya habari ili tusikie wanavyoendelea na pale wanapokutana na vikwazo tunapaswa kujua nini kinaendelea.