GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 614
- 888
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Labda Reli Mkoloni sio hii SGR
Inaumiza sana.Halafu wao wapo Uturuki sisi tunamemena mihogo kama panya hapahapa Avic Town.Inaumiza sana.ZA NDANIIIIIIIIIIIIII...
Mdau mmoja ambaye Sinto penda kuweka jina lake hapa ambaye Yuko Nchini Uturuki ananipenyezea mambo kadhaa kuhusu Mnyama ,
(1)KOCHA HAMTAKI NGOMA.
Kocha mkuu wa Simba Mbrazil Mzee wa Samba Boy anasema hamuelewi hata kidogo Fabrice Ngoma ,Jana ilichezwa mechi ya mazoezi baina yao Simba Full Game ,Ngoma alicheza Dakika 37 akawa amepata Injury π©Έ kocha anasema hakumpendekeza ...Sasa sijui itakuwaje .
(2)LUIS KAONGEZEKA UZITO .
Kwa mujibu wa mdau anasema Bwana mdogo Konde Boy ameongezeka UZITO Kwa kilo 15 kwahiyo Kocha anauliza kwanini alisajiliwa ?Na ni lini UZITO huo utapungua ?Kocha kawaka vibaya ,Viongozi wanamtegea tuu ndiyo maana Mgunda kawekwa pembeni kuja kuchukua nafasi ya kocha .
(3)KIPA WA KIBRAZIL .
Golikipa huyo kavuta mkwanja Million 400 huku Mshahara wake uko kiasi Cha TSH 14M .Beno Kakolanya aliomba Million 65 asaini Simba wakakataa akamua kwenda zake Singinda aliko vita 100 m..Inasemekana Golikipa ni Dili la Mtu mmoja pale Simba .
Mdau anamalizia Kwa kusema Kocha hawezi kufika November ya mwaka huu .View attachment 2703127
Hili nalo ni la ajabu?Mdau anamalizia Kwa kusema Kocha hawezi kufika November ya mwaka huu .
Alipofika mara ya kwanza alikuja na kikosi chake?Afrika kocha hausiki na usajili yeye anaketewa tu hataki mkango mweupe,hata first eleven haipangwi na kocha,usilete manbo ya ulaya huku
Aisee umbea kitu kibaya saana π π π π ndio maana simba hawarujusu waandishi kwenye kambi yao maana waswahili waongo waongo takataka hiiZA NDANIIIIIIIIIIIIII...
Mdau mmoja ambaye Sinto penda kuweka jina lake hapa ambaye Yuko Nchini Uturuki ananipenyezea mambo kadhaa kuhusu Mnyama ,
(1)KOCHA HAMTAKI NGOMA.
Kocha mkuu wa Simba Mbrazil Mzee wa Samba Boy anasema hamuelewi hata kidogo Fabrice Ngoma ,Jana ilichezwa mechi ya mazoezi baina yao Simba Full Game ,Ngoma alicheza Dakika 37 akawa amepata Injury π©Έ kocha anasema hakumpendekeza ...Sasa sijui itakuwaje .
(2)LUIS KAONGEZEKA UZITO .
Kwa mujibu wa mdau anasema Bwana mdogo Konde Boy ameongezeka UZITO Kwa kilo 15 kwahiyo Kocha anauliza kwanini alisajiliwa ?Na ni lini UZITO huo utapungua ?Kocha kawaka vibaya ,Viongozi wanamtegea tuu ndiyo maana Mgunda kawekwa pembeni kuja kuchukua nafasi ya kocha .
(3)KIPA WA KIBRAZIL .
Golikipa huyo kavuta mkwanja Million 400 huku Mshahara wake uko kiasi Cha TSH 14M .Beno Kakolanya aliomba Million 65 asaini Simba wakakataa akamua kwenda zake Singinda aliko vita 100 m..Inasemekana Golikipa ni Dili la Mtu mmoja pale Simba .
Mdau anamalizia Kwa kusema Kocha hawezi kufika November ya mwaka huu .View attachment 2703127
Mwisho wa msimu bingwa anakua mla mihogoInaumiza sana.Halafu wao wapo Uturuki sisi tunamemena mihogo kama panya hapahapa Avic Town.Inaumiza sana.
Fumba macho dua yako na iwe hivyo.π
Ndugu wanafanana haoUtokolo mnahangaika kama CCM inavyohangaika kujinasua na kashfa ya DP World