Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,117
- 4,782
By @hamisamobetto . . - First Of All Me sio Mtu wa Kujibishana Na watu insta Ndo maana always nakaaga Kimya . ...... Tangia Nimefungua @mobettostyles Kila siku imekua Jipya . Secondly sijawahi Sema Popote kuhusu mshono Wa Shughuli yako wala kuandika kwa My page so probably one of your friends kayapeleka sehemu . My dear ulivyokua hujanialika kwenye shughuli yako nilibezwa kuchekwa kutukanwa and all siku jibu wala ongea popote kwasababu kila mtu ana uhuru wa kuchagua watu atakao . . Ulinitafta Tumechagua Mishono umeenda shona kwengine sijawah lalamika my dear wala kusikitika Coz ridhki mafungu saba na kila likuepukalo najuaga huwa lina kheri na Mtu . . Hivyo basi kama mtu mzima ungeskia kitu ungenifata na kunambia lakin no umeamua kunichafua just because uweze lala vizuri usiku . #MniacheJamani #MaanaNadhanSikuMkinitoaRoho #MtafurahiaSana
Unauza mapazia siku hizi?Kimboka TV[emoji125][emoji125][emoji125]
kwani hamissa ni fundi cherehaniSio kwa hapa kibongo bongo lazima pachimbike
Haa haa haa sana yanLeo Dina atalala usingizi mzuri
Sio bongo movie , kawaalika watu maarufu tu. Alifungua magroup ya ujasiriamali matano hao ndio wamechanga hakuna hata mwakilishi yeye kawaalika maslay Queen wenzake.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kina nani wamechanga kwenye magrupu au bongo movie
🙂🙂🙂 Vyuma havijakaza.40 ya 20 mil? Watu wana hela si mchezo. Kwa usawa huu wa Magu?
Mange hanaga rafiki wa kudumu rejea kilichompata Wema na Ccm.Mange mbona huwa anaelewana na Zamaradi pia au amemsaliti shoga yake kwa ajili ya hamisa?
Eeeeh ndyo blaza mjombaakoUnauza mapazia siku hizi?
Asante sana sanaUna mayai na kizazi kizuri mpaka uzeeni bado unazaa. Hongera
Mvulana wa miaka 28, hivi utaona umefanyiwa nini zaidi ya kuona maji ya hiki na mdalasini ndio mapenzi?Ndio maana my wife to be anatokea Pemba hawa Wa Darasa la Saba/big headed nawaachia wanaume madomo zege.
Wanawake Wa Tanzania wanaojielewa ni either wameshakufa Kama vile Mke Wa Marehemu Kingunge au wameshazeeka kama Mama maria nyerere, Tunu pinda, Anna mkapa, Fatuma karume na mama zetu.
Wengine wote waliosalia ni Pasua kichwa. Hawafai kwa kuoa bali wanafaa kwa matumizi halali ya Instagram na show za kibabe za usiku na kuacha. Huwa najiuliza mwanaume unaanzaje kuoa mwanamke kama Hamisa.
Ngoja nijiandae zangu kuoga maji yaliyotiwa hiriki na mdalasini na mwanamke wangu Wa kipemba. Nyie endeleeni na wanawake wenye bachelor degree of Instagram
Wanawake wa pemba wanavyopenda kuzaa na kuwekwa ndani kama makochi!Mvulana wa miaka 28, hivi utaona umefanyiwa nini zaidi ya kuona maji ya hiki na mdalasini ndio mapenzi?
Eti wa degree unawaachia madomo zege.....pathetic!!! Hii inaonyesha jinsi usivyo jiamini.
Mwanaume wa kweli huoa mke ampendaye na kisha hujitahd kumake the best wife out of her. Na sio kudhania wa darasa la saba ndio the best and wa degree ndio poorest
screenshots zingependeza zaidi
Hakuna sehemu wanayoshauri hivyoUnashauriwa usinyonyeshe ili usimuambukize mtoto
Mvulana wa miaka 28, hivi utaona umefanyiwa nini zaidi ya kuona maji ya hiki na mdalasini ndio mapenzi?
Eti wa degree unawaachia madomo zege.....pathetic!!! Hii inaonyesha jinsi usivyo jiamini.
Mwanaume wa kweli huoa mke ampendaye na kisha hujitahd kumake the best wife out of her. Na sio kudhania wa darasa la saba ndio the best and wa degree ndio poorest[/QUOT
Shangaa sasa
Ujinga mtupu, angezaa na mengi je?
huyu Mrs Victim na afe tuone... masogange na ngongingo yake kishasahaulika sembuse yeye mwizi wa mabwana za watu