nitaeleweka sasa,,nikweli watu wa tarime wanauwezo wa kujisimamia.kulikuwa na tofauti kubwa sana kati ya chadema makao makuu na kamati tendaji ya tarime. pamoja na vitisho lamakao makuu uongozi wa tarime umejisimamia kisheria na umeshinda. sasa kwakuwa order ilikuwa kwamba CHADEMA BILA TARIME INAWEZEKANA,, sisi tarime tumejisimamia tunachosubiri nikufutiwa uanachama kama ilivyotamkwa na ngazi ya juu.