Si bendera zile nyeupe zilizochanganywa na nyekundu bado zimefungwa kwenye miti mirefu huko labda ndo tatizo....
NilisahauuNa blue blue ya bahari ikiwepo......
Nimejibu swali kama ulivyouliza kwenye title.Hata kama una mapenzi na serikali kiasi gani! kuwa na huruma ndugu yangu! yupo Muumba alie juu anaona, anasikia yote! kama hawa wameikosea serikali basi yeye atalipa na kama serikali inawakosea hawa basi yeye atalipa! zungumza kauli nzuri kwa waliopatwa na majanga! wape moyo hata kama wamekosea! kauli nzuri ni sadaka! uyaone kwa jirani! yanaweza kukutokea hata wewe kwa style nyengine kabisa ukajiuliza NIMEKOSA NINI KWA MUUMBA ! Mwenye ez Mungu akuongoze!
Uchaga, uchadema umewaponza ad huruma