Kilosa leo: Hii ni sawa na kusema bomu lililolengwa kwa adui limeangukia uraiani kwa mrusha bomu!

Kwan maalim seif baada ya kususa kitu gan kimetokea mkuu....siku zote shetan ana nguvu ingia uringoni ukimsubiri pastor

Safari hii watakwenda kushtakia kwa Baba. Tuone kama mtu atachomoka. Zilizopita zile za nyuma ni mvua za rasha rasha, wingu kuu ndio kwanza linaanza kutanda.
 
Hilo bomu limeangukia puani kwake siyo uraiani raia wamelikwepa hilo bomu. Aisee nimemuona alivyosikia aibu hadi akakosa la kusema
 
Naunga mkono hoja
 
Hiyo ni kweli kabisa. Kama kuna Mbunge wa Chadema au ACT atakayerudi mjengoni basi itakuwa ni kwa hisani au maelekezo toka juu .... ila Magufuli ajiandae na kesi za kumwaga za mapingamizi ya uchaguzi ambazo zitalicost taifa kwa kutumia pesa bila sababu .............!!
 
Matusi hayasaidii chochote mkuu, Kwanza wewe unajitambulisha kama msomi na mwelewa unayetoa michango Bora inayojenga, na Bahati Nzuri unasema umenipuuza, Kwa nini Unani quote sasa, nipotezee Mzee,
Suleiman kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu alisema: mjibu mpumbavu kulingana na upumbavu wake vinginevyo atajiona mwerevu. Ningepotezee lakini mchango wako ulikuwa na ulimbo ungewapotosha wajinga ( misinformation).
 
Suleiman kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu alisema: mjibu mpumbavu kulingana na upumbavu wake vinginevyo atajiona mwerevu. Ningepotezee lakini mchango wako ulikuwa na ulimbo ungewapotosha wajinga ( misinformation).
So you're nicompoon!
Nilisema tangu mwanzo kwamba wewe hamna kitu. Umethibitisha bila kubakisha tashwishwi yoyote kuwa wewe hamnazo kabisa!

Msomi na mtoa hoja jadidi uwe wewe? Unajihami Kwa kutumia matusi kuficha ujinga wako siyo? Jinga kabisa wewe! Pwaaa!!! Nimekusamehe sababu nishakujua ulivyo, tukana uwezavyo uwanja ni wako!!!
 
Msomi na mtoa hoja jadidi uwe wewe? Unajihami Kwa kutumia matusi kuficha ujinga wako siyo? Jinga kabisa wewe! Pwaaa!!! Nimekusamehe sababu nishakujua ulivyo, tukana uwezavyo uwanja ni wako!!!
Nimepoteza muda wangu. Mpumbavu hata umtwage vipi kwa mchi kinuni atoka tu bado mpumbavu. Samahani Paul Sylly!
 
Kwa nini Ccm isishinde kwa zaidi ya 60% wakati imetekeleza ilani yake ya uchaguzi kwa zaidi ya 90%? Huu ni mwaka Ccm itapata ushindi wa kishindo.

CCM itapata ushindi si kwa kutekeleza ilani yake bali kwa sababu itakuwa ni uzembe kwa incumbent anayeamirisha majeshi, tume na mifumo yote kushindwa uchaguzi.

Wananchi wengi wana umasikini mwingi sasa hivi kuliko July 2015!! Hili sio swala la kutekeleza ilani - mwengine anagombea hasa kwa sababu shughuli alizoanza hazijakamilika na haoni atakayezikamilisha - hiyo ilani iliyokamilishwa ni ipi??
 
Kamuulize Laurent Gbagbo ....dunia siyo yake atapita kama madiktekta wenzake
 
Anafahamu sana ila alitaka kufikisha ujumbe live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…