Luushu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 882 Reaction score 537 Nov 1, 2012 #1 Ndugu wana jamii naomba maoni yenu kipi kilizingatiwa kuweka makao makuu ya wilaya ya kilolo kuwa kilolo na si Ilula naomba kujuzwa
Ndugu wana jamii naomba maoni yenu kipi kilizingatiwa kuweka makao makuu ya wilaya ya kilolo kuwa kilolo na si Ilula naomba kujuzwa
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Nov 1, 2012 #2 Nyie wanyalukolo mna mambo, muulizeni Prof Peter Msola ndo alieinfluence hii kitu alipokuwa vice chancellor wa SUA na hii kitu ilimsaidia sana mpaka mkampatia ubunge
Nyie wanyalukolo mna mambo, muulizeni Prof Peter Msola ndo alieinfluence hii kitu alipokuwa vice chancellor wa SUA na hii kitu ilimsaidia sana mpaka mkampatia ubunge