Ndugu Tafadhalini naomba fikisheni ujumbe huu kwa watanzania wengi, tutaanza kuona mchele ukiuzwa kwa bei nafuu kuliko unga wa mhogo, tukafikiria huo ni mteremko.
Mfanyi Biashara yeyote atakaye ingiza hii bidha nchini ni hatari kushinda hata muuza madawa ya kulevya.
Ungefungua hiyo video hapo juu usingruliza hili swaliPlastic rice, ukipikwa unakuwaje?
Let us save ourselves and our people kwa kuzisambaza hizi habari na videos, ni wajibu wetu kama wasomi na watanzania wenye mapenzi na watanzania wenzetuWe are going to Die
We are going to Die
Another videoNdugu Tafadhalini naomba fikisheni ujumbe huu kwa watanzania wengi, tutaanza kuona mchele ukiuzwa kwa bei nafuu kuliko unga wa mhogo, tukafikiria huo ni mteremko.
Mfanyi Biashara yeyote atakaye ingiza hii bidha nchini ni hatari kushinda hata muuza madawa ya kulevya.
Ndugu tuache ujinga , CCM wala chama chochote haviuzi mchele, hawa ni watu walafi na wabaya. Wahusika ni wachuuzi na watu wa idara husika, nao hao hawatumii matakwa ya chama chao bali ni roho zao dhaifu. Mkurugenzi husika anaweza kuwa chadema ama ccm , lakini chama chake hakimtumi kufanya hivyoCcm wanapotupeleka Mungu ndio anajua
We umeanzisha Uzi Halafu unataka tuchangie unavyotaka wewe.mtumie mkeo basi asome huo Mchele umeingizwa baada ya Mmchele ya ndani kuwa juu sana Mimi najua kwa kuona kwa macho unavyotengenezwa huo huuzwa na nchi ambazo kuna mfumuko wa bei sasa mfano Mchele wa ndani sasa umefika kilo ni 2300 ikitokea mtu akauza huo wa plastic 1200 wataacha.Ccm wameishiwa akiri za kuongoza ilitakiwa waruhusu mchele wa nje kuuza wa plastic usingeuzwaNdugu tuache ujinga , CCM wala chama chochote haviuzi mchele, hawa ni watu walafi na wabaya. Wahusika ni wachuuzi na watu wa idara husika, nao hao hawatumii matakwa ya chama chao bali ni roho zao dhaifu. Mkurugenzi husika anaweza kuwa chadema ama ccm , lakini chama chake hakimtumi kufanya hivyo