Killer Plastic Rice Be Aware - Watanzania Tujitahadhari

Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,750
4,958
Ndugu Tafadhalini naomba fikisheni ujumbe huu kwa watanzania wengi, tutaanza kuona mchele ukiuzwa kwa bei nafuu kuliko unga wa mhogo, tukafikiria huo ni mteremko.

Mfanyi Biashara yeyote atakaye ingiza hii bidha nchini ni hatari kushinda hata muuza madawa ya kulevya.
 
Attachments

  • Killer Plastic Rice 3.mp4
    13.9 MB · Views: 23
  • Killer Plastic Rice.mp4
    13.5 MB · Views: 22
  • Killer Plastic Rise 2 .mp4
    15.9 MB · Views: 37
Ndugu Tafadhalini naomba fikisheni ujumbe huu kwa watanzania wengi, tutaanza kuona mchele ukiuzwa kwa bei nafuu kuliko unga wa mhogo, tukafikiria huo ni mteremko.

Mfanyi Biashara yeyote atakaye ingiza hii bidha nchini ni hatari kushinda hata muuza madawa ya kulevya.

Tafadhali angalia hizo video nilizoziweka , itakufungua macho vizuri sana
 
Dear Mod, This is a very serious issue, the number of deaths due to this Plastic Rice is increasing and especially among children, I urge to link this post alongwith the videos to all highly visited sites , Our people have to be aware.

Nimesikia kuwa huo mchele umeshaingizwa nchini na huwa na bei rahisi. JF ni lazima iwe kiongozi kutawanya tahadhari hii
 
SASA UKIPIKWA UNAIVA AU?KAMA HAUIVI NI RAHISI KUUTAMBUA KWANZA UTAELEA KWENYE MAJI
 
Ajabu ni kwamba kuna watu waliopewa dhamana ya kuhakikisha bidhaa hatarishi kama hizi haziingii au kusambaa nchini, ila wako kimya kabisa mpaka Magu apige kelele au maafa yatokee ndio utawasikia wakikurupuka toka usingizini. Waafrika tuna shida!
 
Ndugu Tafadhalini naomba fikisheni ujumbe huu kwa watanzania wengi, tutaanza kuona mchele ukiuzwa kwa bei nafuu kuliko unga wa mhogo, tukafikiria huo ni mteremko.

Mfanyi Biashara yeyote atakaye ingiza hii bidha nchini ni hatari kushinda hata muuza madawa ya kulevya.
Another video
 
Attachments

  • VID-20170529-WA0006.mp4
    13.5 MB · Views: 14
  • VID-20170529-WA0010.mp4
    13.9 MB · Views: 15
Kuna kipindi fulani ulikuwepo mchele kitumbo sijui ulipotelea wapi, ukipika mchele unaumuka utafikiri umeweka RV za ukimwi
 
Ccm wanapotupeleka Mungu ndio anajua
Ndugu tuache ujinga , CCM wala chama chochote haviuzi mchele, hawa ni watu walafi na wabaya. Wahusika ni wachuuzi na watu wa idara husika, nao hao hawatumii matakwa ya chama chao bali ni roho zao dhaifu. Mkurugenzi husika anaweza kuwa chadema ama ccm , lakini chama chake hakimtumi kufanya hivyo
 
We umeanzisha Uzi Halafu unataka tuchangie unavyotaka wewe.mtumie mkeo basi asome huo Mchele umeingizwa baada ya Mmchele ya ndani kuwa juu sana Mimi najua kwa kuona kwa macho unavyotengenezwa huo huuzwa na nchi ambazo kuna mfumuko wa bei sasa mfano Mchele wa ndani sasa umefika kilo ni 2300 ikitokea mtu akauza huo wa plastic 1200 wataacha.Ccm wameishiwa akiri za kuongoza ilitakiwa waruhusu mchele wa nje kuuza wa plastic usingeuzwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom