Umetoswaaa Mzee mzmaa
lol....
Sema tu kwamba ndo zako na umeamua kuacha...
kumbe unaweza kuwa na ki2 kizur cha kushare.....lkn kikaonekana ndo cha kipuuzi......lol.
vijana wenzangu mnatia aibu.......weng humu n ulimbuken.....unajivunia wing wa watoto wa kike.....K ni ile ile....
.K ni ile ile....
Siyo kweli, zinatofautiana sana....