Watahitaji na semina ya jinsi ya kutumia hizo fedha pia maana tatizo si tu kupata fedha bali na namna ya kuzitumia.Mahindi hayo kwa ukubwa wa shamba hilo LA ekari 800,000 utatoa magunia milioni 16 haya yote yauzwe sudani kusini na somalia wallah umaskini tutakuwa tumewaondolea vijana laki tano kwa mpigo
Hivi mfano serikali ikakusanya vijana wanaozurura dar kama laki tano
Halafu wakawapeleka mikoa ya kilimo kama ruvuma rukwa mbeya
Wakawafungulia shamba moja kubwa LA mahindi kwa ukubwa wa eka LAki nane
Halafu wakawanunulia matrekta elfu moja ya kuwalimia
Hivi hatauwaga umaskini kweli?
Naomba chalenji ya hili wazo langu
hawapewi fedha kama fedha, wanapewa pembejeoWatahitaji na semina ya jinsi ya kutumia hizo fedha pia maana tatizo si tu kupata fedha bali na namna ya kuzitumia.
Wao walime wasipewe kitu pesa zijenge miundombinu? Sasa watakuwa na tofauti gani na wafungwa?wao wanalima halaf hawafaidiki na kitu wanafaid wengine.PESA ZITAKAZOPATIKANA ZIJENGE MIUNDOMBINU
Only if serikali ingekuwa na akili hiyo. Tatizo ni kwamba serikali kwa sasa kama vile wamekisahau kilimo.Hivi mfano serikali ikakusanya vijana wanaozurura dar kama laki tano
Halafu wakawapeleka mikoa ya kilimo kama ruvuma rukwa mbeya
Wakawafungulia shamba moja kubwa LA mahindi kwa ukubwa wa eka LAki nane
Halafu wakawanunulia matrekta elfu moja ya kuwalimia
Hivi hatauwaga umaskini kweli?
Naomba chalenji ya hili wazo langu
namaanisha fedha baada ya kilimohawapewi fedha kama fedha, wanapewa pembejeo
Tatizo sio kilimo watu wanalima sana ila shida inakuja kwenye kupata soko la uhakika, serikali yenyewe inafunga mipaka watu wasiuze mazao nje wanaishia kuuza gunia la mahindi 18000 sasa si hasara hiyoMahindi hayo kwa ukubwa wa shamba hilo LA ekari 800,000 utatoa magunia milioni 16 haya yote yauzwe sudani kusini na somalia wallah umaskini tutakuwa tumewaondolea vijana laki tano kwa mpigo
Akili zaki mavi mavi...PESA ZITAKAZOPATIKANA ZIJENGE MIUNDOMBINU