Mwani ni majani yanayoota kwenye uso wa maji chumvi (baharini)
Mwani kilimo chake si kigumu Kwan mkulima atahitaji tu kujua namna ya kuweka mwani kwenye maji na kisha kuuhudumia
Zao la mwani linasoko kubwa Sana ndan na nje ya nchi
Kwan mwani hutumika kutengeneza mafuta, sabun, dawa, chocolate, lotion na vipodoz mbal mbali pamoja na ice cream!
Wakulima wa mwani wanachangamoto tu kwenye upande wa bei ya gram za ukaushwaji
Kwan unapovuna gunia utakausha mwani wako kuondoa kiwango cha maji (water content ) utakapokausha utapata nusu gunia! Halafu umelima kwa muda
Lakin changamoto hii huweza kuiepuka kama ukijikita kwenye uzalishaji wa vitu Na bidhaa za mwan
Kwa sasa TZ ni moja ya nchi kumi bora katika uzalishaji wa zao LA mwani
Karibu tulime mwani!
View attachment 1201316View attachment 1201317View attachment 1201319