Wakuu Mwenye uzoefu wa kilimo cha mahindi Dakawa kuanzia upatikanaji mashamba ya kukodi,kulima,mavuno na makadirio ya gharama kwa heka kuandaa shamba mpaka kuvuna.
Natanguliza shukrani.
Dakawa ni sehemu ambayo ni Tambarale kipindi cha masika mvua huwa ni nyingi(hadi afuriko huwa yanakuwepo),nakushauri kwa Dakawa zao litakalofaa ni Mpunga,kama ni Mahindi nenda kata ya Doma,Pemba,Maskati,Kibati,Diongoya,Homboza etc

Kwa kuongezea tu saivi kunashida sana ya aridhi hii ni baada ya magereza kuwanyang'anya melefu ya heka kwa ajili ya kiwanda cha miwa mbigiri. Si unajua tena ni viwonder