Bwana Mpanzi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 200
- 198
Safi sana ni kilimo cha miezi mingapi na eka moja unatoa gunia ngap?Moja ya mambo ambayo Tanzania huwa hayatangazwi Au kutembea kwa habari zake kwa kasi ni kilimo cha dengu, ngoja nianze kwa sababu kadhaa, ni eneo dogo la nchi linalolima dengu ila huhitaji wake bado upo, twenzetu....
1/ Hakihitaji maji wala mvua yaani unaweza lima kwa kutegemea umande tu hii ni kutokana na namna mbegu ilivyojiandaa na kuepukana na changamoto za magonjwa hasa ya fangasi.
2/ Soko lake bado lipo,unaweza kucomment bei ya huko ulipo kwa sasa,bei ni 2000-4000 tsh Tanzania hii itatofautiana na maeneo ila bei ipo.
3/ Gharama za uendeshwaji wa shamba ni ndogo sana labda kikubwa ni mbegu ila mengine ikizingatiwa magonjwa na changamoto za wadudu ni ndogo sana.
4/ Wengi hawalifahamu wanafahamu bidhaa ya dengu ila 80% ya watanzania Dengu hawaijui au mmea wenyewe unaonekanaje na hivyo kufanya nafasi ya kupenya kwa sehemu uliyopo.
5/ Zao la pili yaani ukitoa zao linalovumilia mvua za mwaka ndio huwekwa mfano mpunga ukishavuna unageuza ardhi unamwaga Dengu zako.
Hizo hapo juu ni sababu chache kati ya zile nyingi zitakazofanya mtu asijilaumu kulima dengu.
Unaweza kuandika jumbe fupi.
0714600576/0620598113.
Kuhusu ushauri wa mimea/tabia za mimea.
Masoko na kilimo kwa ujumla.
Karibuni Morogoro.View attachment 1679443
Asante sana naomba unisaidia yafuatayoMoja ya mambo ambayo Tanzania huwa hayatangazwi Au kutembea kwa habari zake kwa kasi ni kilimo cha dengu, ngoja nianze kwa sababu kadhaa, ni eneo dogo la nchi linalolima dengu ila huhitaji wake bado upo, twenzetu....
1/ Hakihitaji maji wala mvua yaani unaweza lima kwa kutegemea umande tu hii ni kutokana na namna mbegu ilivyojiandaa na kuepukana na changamoto za magonjwa hasa ya fangasi.
2/ Soko lake bado lipo,unaweza kucomment bei ya huko ulipo kwa sasa,bei ni 2000-4000 tsh Tanzania hii itatofautiana na maeneo ila bei ipo.
3/ Gharama za uendeshwaji wa shamba ni ndogo sana labda kikubwa ni mbegu ila mengine ikizingatiwa magonjwa na changamoto za wadudu ni ndogo sana.
4/ Wengi hawalifahamu wanafahamu bidhaa ya dengu ila 80% ya watanzania Dengu hawaijui au mmea wenyewe unaonekanaje na hivyo kufanya nafasi ya kupenya kwa sehemu uliyopo.
5/ Zao la pili yaani ukitoa zao linalovumilia mvua za mwaka ndio huwekwa mfano mpunga ukishavuna unageuza ardhi unamwaga Dengu zako.
Hizo hapo juu ni sababu chache kati ya zile nyingi zitakazofanya mtu asijilaumu kulima dengu.
Unaweza kuandika jumbe fupi.
0714600576/0620598113.
Kuhusu ushauri wa mimea/tabia za mimea.
Masoko na kilimo kwa ujumla.
Karibuni Morogoro.View attachment 1679443
Eka moja unapata mavuno kiasi gani? Vp khs bei?Ninalima mwaka wa wa pili sasa
Duh mbona kidogo hivyo?Dengu inaeza toa debe 2 kwa ekari
Ninalima mwaka wa wa pili sasa
Sio kwamba na utamaduni wetu unachagia maana Dengu sio mboga maarufu ukilinganisha na Maharage, au hata kunde mbaazi na choroko?.
Safi sana ni kilimo cha miezi mingapi na eka moja unatoa gunia ngap?
Asante sana naomba unisaidia yafuatayo
1.gharama ya kulima eka 1
2.mauzo ya ekari moja yakoje
Naweza tu kusema dengu ni kati ya zao lenye soko kubwa au naweza kusena kati ya mazao yanayoongoza kwa kununuliwa sana

Tatizo la hayo mazao soko lakelitategemea hasa wahindi, wakizingua ndo basi tena. Mi nimelima miaka miwili sijalima tena
Duh mbona kidogo hivyo?
Si kwel dengu heka moja unaweza pata dunia 3 hadi 5 kwa heka tena ukipata ardhi nzr na ukapanda kwa ng'ombe dume unaweza pata hadi gunia 7, dengu ni zao zuri sn coz halina stress mwaka juzi kdg ndio bei ilizingua but ni zao zuri coz linavumilia sn magonjwa haliitaji mvua wala mbolea wala parizi, haiitaji dawa kuifadhi kwake ghalani , bei ya mwaka jana mwisho ikifika 1500tsh kwa kilo na ulifanikiwa kuingiza kenya basi umepiga hatua coz dengu kule wanatengenezea biscuits . mie nina heka 20 ninajiandaa kulima mwezi wa tatu mwishoni huko babati