Kilimo Bora nikipi?

Mkuu unalima wapi, naomba unipe ramani mkuu na mm niingie hko,.
NI mbozi na momba mkuu..karibu sana ukifika huko tuna vijiji tuna mradi wa kilimo cha soya unaitwa soya ni pesa..ila kwa sasa wako kwenye uvunaji msimu mwingine unaanza december/january..Pia tupo morogoro, songea, njombe na mbinga kwa mradi huo huo
 
Nashukuru sana mkuu, naomba namba zako mkuu unipe data zaidi ndugu yangu
 
Umemaliza mkuu,,nawish hapa ndio ingekua mwisho wa wacomment za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…