kwa hiyo pesa yako itabidi uanze na kilimo cha open space lakini mtaji ukiwa kama na 5M itapendeza kama ukihamia kwenye kilimo cha uhakika kisichokuwa na mashaka ya hasara( green house), hapa utapiga pesa through out the year bila kusubilia mvua kama kule kwenye open space ambako uwezekana wa kutovuna kabisa ni mkubwa kutokana na pests na magonjwa mengi katika baadhi ya maeneo.Wada mnajua yakua kuna vilimo vya mazao mengi sana sasa nina million I nataka nilime kati ya mwaka 2018 je mnaweza kunishauli kilimo gani ambacho ukilima huaga uakika yan kwamba akikupi hasara .wakibwa ushilikiano wenu nibora sana kwahyo naombeni ushauli maana me nikijana wa umri wa miaka 25 ndio naanza maisha
Mkuu kwanini tusiunganishe nguvu tukalime mahindi sehemu za umwagiliaji kwa kukodi mashamba mikoani? Tutatoboa mahindi huwa hayana changamoto kama mazao mengine.Wada mnajua yakua kuna vilimo vya mazao mengi sana sasa nina million I nataka nilime kati ya mwaka 2018 je mnaweza kunishauli kilimo gani ambacho ukilima huaga uakika yan kwamba akikupi hasara .wakibwa ushilikiano wenu nibora sana kwahyo naombeni ushauli maana me nikijana wa umri wa miaka 25 ndio naanza maisha
Green house zinapatikana wapi na huwa zina ukubwa gani? Bei ndio hiyo 5m each?kwa hiyo pesa yako itabidi uanze na kilimo cha open space lakini mtaji ukiwa kama na 5M itapendeza kama ukihamia kwenye kilimo cha uhakika kisichokuwa na mashaka ya hasara( green house), hapa utapiga pesa through out the year bila kusubilia mvua kama kule kwenye open space ambako uwezekana wa kutovuna kabisa ni mkubwa kutokana na pests na magonjwa mengi katika baadhi ya maeneo.
Ushauri murua. If God wishes ntaanzisha kilimoWewe ni begginer, usiwaze mambo makubwa ya green house kwa sasa... kwa sasa njoo kwenye kilimo tu cha msimu ambacho kitakuongezea huo mtaji wako.. Kama unaweza angalia ukanda wa Songwe, au Ruvuma..huko mvua ni za uhakika na unaweza kulima mazao kama mahindi, maharage na soya kwa bei nzuri,,..Mashamba yanapatikana kuanzia 40,000 kwa kukodi..kuna gharama nyingine kama za kuandaa shamba na kununua mbegu,mbolea na vibarua..ila mwisho wa siku inalipa kwani ukanda huu mvua ni za uhakika.. Muhimu ni usimamizi..usije ukatuma hela ukiwa mjini uwe mkulima wa simu..utaliwa na ukichukie kilimo..jikane nafsi,piga kambi hiyo miezi yako mitatu utaona mafanikio..au kama huwezi kupiga kambi hakikisha unakuwepo wakati wa hatua muhimu mfano kupanda, juweka mbolea na palizi..baada ya hapo unaweza kuweka kijana anakuangalizia tu kama kutakuwepo na magonjwa na wadudu anakupa taarifa wakati unaendelea na mambo yako mjini... Pia uwatumie wataalamu wa kilimo wa eneo husika...Nenda idara ya kilimo halmashauri sema unaomba ushauri kwa mtaalamu wa mazao na utaongea nae kupata picha ya nini ufanye kwa eneo husika..Vijana wa kisasa lazma tufanye vitu kitaalamu na siyo kwa mazoea... Karibu shambani
Unawajua stalk borer's wewe kwenye mahindi ya kumwagilia kiangazi au ndo unaanza,changamoto kwa kila zao IPO tu,sema kwenye mahindi ni ndogoMkuu kwanini tusiunganishe nguvu tukalime mahindi sehemu za umwagiliaji kwa kukodi mashamba mikoani? Tutatoboa mahindi huwa hayana changamoto kama mazao mengine.
ebana faza nimesoma hii komenti zaid ya mara 3,,hakika ni ushauri bora kbs kwa mkulima anayetaka kuanza,,mm pia natarajia kuingia kwenye kilimo mwaka huu,,hiz ajira hazina future inayoelewekaWewe ni begginer, usiwaze mambo makubwa ya green house kwa sasa... kwa sasa njoo kwenye kilimo tu cha msimu ambacho kitakuongezea huo mtaji wako.. Kama unaweza angalia ukanda wa Songwe, au Ruvuma..huko mvua ni za uhakika na unaweza kulima mazao kama mahindi, maharage na soya kwa bei nzuri,,..Mashamba yanapatikana kuanzia 40,000 kwa kukodi..kuna gharama nyingine kama za kuandaa shamba na kununua mbegu,mbolea na vibarua..ila mwisho wa siku inalipa kwani ukanda huu mvua ni za uhakika.. Muhimu ni usimamizi..usije ukatuma hela ukiwa mjini uwe mkulima wa simu..utaliwa na ukichukie kilimo..jikane nafsi,piga kambi hiyo miezi yako mitatu utaona mafanikio..au kama huwezi kupiga kambi hakikisha unakuwepo wakati wa hatua muhimu mfano kupanda, juweka mbolea na palizi..baada ya hapo unaweza kuweka kijana anakuangalizia tu kama kutakuwepo na magonjwa na wadudu anakupa taarifa wakati unaendelea na mambo yako mjini... Pia uwatumie wataalamu wa kilimo wa eneo husika...Nenda idara ya kilimo halmashauri sema unaomba ushauri kwa mtaalamu wa mazao na utaongea nae kupata picha ya nini ufanye kwa eneo husika..Vijana wa kisasa lazma tufanye vitu kitaalamu na siyo kwa mazoea... Karibu shambani
Mkuu unalima wapi, naomba unipe ramani mkuu na mm niingie hko,.Wewe ni begginer, usiwaze mambo makubwa ya green house kwa sasa... kwa sasa njoo kwenye kilimo tu cha msimu ambacho kitakuongezea huo mtaji wako.. Kama unaweza angalia ukanda wa Songwe, au Ruvuma..huko mvua ni za uhakika na unaweza kulima mazao kama mahindi, maharage na soya kwa bei nzuri,,..Mashamba yanapatikana kuanzia 40,000 kwa kukodi..kuna gharama nyingine kama za kuandaa shamba na kununua mbegu,mbolea na vibarua..ila mwisho wa siku inalipa kwani ukanda huu mvua ni za uhakika.. Muhimu ni usimamizi..usije ukatuma hela ukiwa mjini uwe mkulima wa simu..utaliwa na ukichukie kilimo..jikane nafsi,piga kambi hiyo miezi yako mitatu utaona mafanikio..au kama huwezi kupiga kambi hakikisha unakuwepo wakati wa hatua muhimu mfano kupanda, juweka mbolea na palizi..baada ya hapo unaweza kuweka kijana anakuangalizia tu kama kutakuwepo na magonjwa na wadudu anakupa taarifa wakati unaendelea na mambo yako mjini... Pia uwatumie wataalamu wa kilimo wa eneo husika...Nenda idara ya kilimo halmashauri sema unaomba ushauri kwa mtaalamu wa mazao na utaongea nae kupata picha ya nini ufanye kwa eneo husika..Vijana wa kisasa lazma tufanye vitu kitaalamu na siyo kwa mazoea... Karibu shambani
Kuanzia milioni 3.5 kwa hiyo milioni 5 unakuwa umepata na kisima kabisa shambani kwako .Green house zinapatikana wapi na huwa zina ukubwa gani? Bei ndio hiyo 5m each?
Unawajua stalk borer's wewe kwenye mahindi ya kumwagilia kiangazi au ndo unaanza,changamoto kwa kila zao IPO tu,sema kwenye mahindi ni ndogo
Dadake shamaba wapi hiloo?Mkuu naomba msaada wa changamoto kwenye mahind wkt wa kiangazi nna shamba natoa mpunga nataka june niandae nilime mahindi maana shamba lipo karibu na maji na nina pump kubwa ya kupeleka shambani vzr tu
Ahsante
Mkuu sijaelewa hapo unamaanisha kisima Mil. 1.5?Kuanzia milioni 3.5 kwa hiyo milioni 5 unakuwa umepata na kisima kabisa shambani kwako .
Ukubwa wa (5x8)m square 3.5M na kuendelea kulingana na pesa yako
Inategemea na water table ya hapo ulipo unaweza chimbiwa hata kwa laki tano na ukatafuta mota kwa ajili ya kuvuta maji almost 1MMkuu sijaelewa hapo unamaanisha kisima Mil. 1.5?
Unaweza ukajua Mlandizi water table iko umbali gani mkuu, nataka nijitose kwenye kilimo?Inategemea na water table ya hapo ulipo unaweza chimbiwa hata kwa laki tano na ukatafuta mota kwa ajili ya kuvuta maji almost 1M
Kwa huko sijui mkuu, but maeneo mengi ya pwani haiko mbali kivileUnaweza ukajua Mlandizi water table iko umbali gani mkuu, nataka nijitose kwenye kilimo?
Shukrani sana mkuu.Kwa huko sijui mkuu, but maeneo mengi ya pwani haiko mbali kivile
Na mimi ningejua water table ya kiwangwa imgekua vyema Mkuu.Kwa huko sijui mkuu, but maeneo mengi ya pwani haiko mbali kivile
Dadake shamaba wapi hiloo?