Ndo zao hao na utafanya vzr na kujibu vzr mtihani wao ila kuitwa interview ya pili utasikia kwa wenzio kazi ipo na haya mashirika1) Vision
2) Mission,
3) Mafao yanayotolewa na PPF,
4) Schemes walizo nazo PPF,
5) Kima cha chini cha Kufungua Wote Scheme,
6) Masharti ya Mwanachama (Mfaidika) kupata fao la Elimu
7) %ge ya Uchangiaji kati ya Mwajiri na Mwajiriwa
8) ......
9) ......
10) ....
Watu ya aina yenu huwa ni nadra sana kufaulu kwenye jambo loloteTETESI ZILIZOPO KUNA WATU WAMESHANDALIWA KWA AJIRI YA KUFANYA HII KAZI ...........
SISI TUNAOFANYA INTERVIEW NI KAMA BORTION ILA WATU TAYALI WALISHAANZA KAZII """"".
Sent using Jamii Forums mobile app
Rutashobolwaa kumbe wewe ujanja woteee humu kuandika habari za kuwasema na kuwaponda wapinzani """""""Watu ya aina yenu huwa ni nadra sana kufaulu kwenye jambo lolote
majina mbona sijayaona mkuu...au nyie taarifa mmezipata wapi?Habari zenu wakuu.
Kwa ambao mmenda interview za asubuhi tungependa mtupe mrejesho wa huko hiyo interview ya dakika 20 ipoje? ni aptitude test au ni interview ya namna gani?
Asante mkuu wamejaa na akili za kupinga kila jamboWatu ya aina yenu huwa ni nadra sana kufaulu kwenye jambo lolote
mmh pole sanaHahaaaaa mwaka juzi nilifanya interview ppf ya kwanza nikapita ya pili sikupewa jibu kabsaaaaa. ..
Maswali yao sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman walisema week hii watatoa majibu ya ya interview any feedback