Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,264
pesa haziongezi life expectancyMkuu tafuta pesa na utaishi milele.
Jenga mahusiano mema kama unakufa kesho
Soma tena nilichoandikapesa haziongezi life expectancy
sifi kesho
punguza ushindani na ujuaji kwani umeandika kitu tofautiSoma tena nilichoandika
kabisa mkuuIshi maisha simple kama ya Bujibuji bujibuji,,, chekesha wengine ili na wewe karma ikuletee kicheko.
Wafariji walio taabuni, usijikombe wala kujipendekeza kwa mtu yeyote.
Ishi maisha yako hailisi.
Kula vizuri, kunywa maji mengi, dinyana sana na mkeo.
Mche Mungu