M Muite JF-Expert Member Sep 10, 2013 2,342 4,801 Nov 30, 2014 #1 Wana JF mwenye taarifa zozote kama baba askofu kilaini atakuwa kanisa gani basi tujuzane. Wengine tunahitaji UPAKO wake.
Wana JF mwenye taarifa zozote kama baba askofu kilaini atakuwa kanisa gani basi tujuzane. Wengine tunahitaji UPAKO wake.
M mpyepye JF-Expert Member Nov 27, 2014 251 51 Nov 30, 2014 #2 Muite said: Wana JF mwenye taarifa zozote kama baba askofu kilaini atakuwa kanisa gani basi tujuzane. Wengine tunahitaji UPAKO wake. Click to expand... Tegeta escrow.
Muite said: Wana JF mwenye taarifa zozote kama baba askofu kilaini atakuwa kanisa gani basi tujuzane. Wengine tunahitaji UPAKO wake. Click to expand... Tegeta escrow.
Ngalikihinja JF-Expert Member Sep 1, 2009 31,275 31,404 Nov 30, 2014 #3 mpyepye said: Tegeta escrow. Click to expand... Tena mwambie aende na sandalusi
anjo JF-Expert Member Jun 13, 2009 299 97 Nov 30, 2014 #4 Waumini waende na sandarusi wapate mgao badala ya kutoa sadaka.
Mshobaa JF-Expert Member Apr 7, 2013 1,678 595 Nov 30, 2014 #5 Huna lolote unahadaa tu wewe Muite said: Wana JF mwenye taarifa zozote kama baba askofu kilaini atakuwa kanisa gani basi tujuzane. Wengine tunahitaji UPAKO wake. Click to expand...
Huna lolote unahadaa tu wewe Muite said: Wana JF mwenye taarifa zozote kama baba askofu kilaini atakuwa kanisa gani basi tujuzane. Wengine tunahitaji UPAKO wake. Click to expand...
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Jun 3, 2011 12,358 6,422 Nov 30, 2014 #7 Gama said: AmesimamishwA kufanya kazi za kanisa Click to expand... Not true! Nchi hii ni chaka la wezi sasa na makanisa yameingiliwa, pesa, pesa, pesa, pesa, pesa, zilimuuza YESU!
Gama said: AmesimamishwA kufanya kazi za kanisa Click to expand... Not true! Nchi hii ni chaka la wezi sasa na makanisa yameingiliwa, pesa, pesa, pesa, pesa, pesa, zilimuuza YESU!
QALLI MIZOH JF-Expert Member Mar 19, 2014 2,075 693 Nov 30, 2014 #8 Gama said: AmesimamishwA kufanya kazi za kanisa Click to expand... Ni kweli hii???
crabat JF-Expert Member Dec 28, 2012 4,322 2,203 Nov 30, 2014 #9 Pia usisahau kwenda kidirishani kuungama dhambi zako atakuwepo special kusamehe walokula fedha za escrow .....patamu hapo
Pia usisahau kwenda kidirishani kuungama dhambi zako atakuwepo special kusamehe walokula fedha za escrow .....patamu hapo
GREGO JF-Expert Member Apr 3, 2014 4,280 2,900 Nov 30, 2014 #10 Unataka uende misa atakayoendesha ili usitoe sadaka mkuu maana ashapokea.
M MZAWA JF JF-Expert Member Apr 4, 2014 4,119 3,346 Nov 30, 2014 #11 mm nikienda muda wa sadaka ctoi alefu mda wa kuombea sadaka nasema pokea sadaka toka kwa rugemalila kupitia askofu wetu ijenge kanisa letu
mm nikienda muda wa sadaka ctoi alefu mda wa kuombea sadaka nasema pokea sadaka toka kwa rugemalila kupitia askofu wetu ijenge kanisa letu