Kilaini ataongoza misa wapi leo? nataka kwenda

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,411
5,024
Wana JF mwenye taarifa zozote kama baba askofu kilaini atakuwa kanisa gani basi tujuzane. Wengine tunahitaji UPAKO wake.
 
Pia usisahau kwenda kidirishani kuungama dhambi zako atakuwepo special kusamehe walokula fedha za escrow .....patamu hapo
 
Unataka uende misa atakayoendesha ili usitoe sadaka mkuu maana ashapokea.
 
mm nikienda muda wa sadaka ctoi alefu mda wa kuombea sadaka nasema pokea sadaka toka kwa rugemalila kupitia askofu wetu ijenge kanisa letu
 
Back
Top Bottom