kila siku mimi tu jamani

Ahsante mwalimu, naomba kuwa mmoja wa mwanafunzi wako. Somo la Reproduction System sikufaulu vizuri. Nahitaji kulirudia.
 
haaaaaaaaaaaaaaa.....
hapana kwa kweli,
uchafu haukubaliki...
loh...

khaaaaaaaa we Asprin bwana ama unajua kujitetea.Haya bwana na kwa taari yako sicam zat way wala nini.na kama ni vizibo labda uwawawekee wewe maanake we ndo mwenye matatizo.
 
Last edited by a moderator:

He he he he, kweli tumeadvance, uchafu nao umekuwa starehe??

Khaaaaaaa we Kongosho hebu mhurumie mwenzio.Ungekuwa we ndo wanakucheet hivyo ungekuwa unalia kama litoto lidogo.uwongoooo?

Si nimesema kabisa Pole mama pita??
 
Ahsante mwalimu, naomba kuwa mmoja wa mwanafunzi wako. Somo la Reproduction System sikufaulu vizuri. Nahitaji kulirudia.
umeshakubaliwa!hilo somo itabidi liwe topic ya mwisho,uzuri wa darsa letu wanafunzi na mwalimu mnajadiliana tusome nini!kwa hiyo wala haina shida,ntamwambia monitor wenu Snowball anote hilo ili tusisahau,maana topic ni nying kwa kweli!na zote ni muhimu tena mno!
 
khaaaaaaaa we Asprin bwana ama unajua kujitetea.Haya bwana na kwa taari yako sicam zat way wala nini.na kama ni vizibo labda uwawawekee wewe maanake we ndo mwenye matatizo.
Umeona sasa? Umeniruhusu mwenyewe. Sasa ulivyosema nimetoa pumba ulikuwa unanitukana au kunisengenya?
 
Ahsante mwalimu. Naruhusiwa kuja na wake zangu?
 
pole kwa kupigwa kanzu.....tafuta mmoja umuulize kwa nini alikuacha.
 
Pole sana mama Pita Kumbuka vifua vinabeba mengi
Kila mtu akiamua kusema siri za ndani wewe utasema mbona wewe una nafuu
Omba mungu akupe aliye mwema na mwaminifu
 
Hahahaaa mume wangu hii kitu sio mara ya kwanza kusikia yani kuna majamaa niliwasikia kwa masikio yangu mawili tulikua tumekaa tunapiga story(na hao majamaa ni watanashati kwelkwel na si kwa nje tu hata majumbani kwao)ila kilichonichosha walidai wanapenda k zinazotoa harufu,mmoja akatia mie huwa namisi ile harufu kama kisamvu!!!! Nilichokaaaaaaaa nilitaka kuzimia..............nyie wanaume mna fantasy za ajabu sana jamani tuseme za ukweli loooh!!!!!
 
Umeona sasa? Umeniruhusu mwenyewe. Sasa ulivyosema nimetoa pumba ulikuwa unanitukana au kunisengenya?
jichagulie we mwenyewe.maanake mi nishachoka na wewe yaani kila jambo hukosi la kujibu.
 
jichagulie we mwenyewe.maanake mi nishachoka na wewe yaani kila jambo hukosi la kujibu.
Nimechagua kukukagua. Ole wako unitolee nje wakati ushanipa uamuzi.
 
Akili za mbayuwayu hizo my wifey.... changanya na zako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…