Hii ungepeleka face book kule ndio kuna vicheche wenziokiukwel jamani mm sielew kabixsa mpz wang kila nikimwbmbia tu do analeta visingzio visvyo na sababu akinihaid cku....mara utasikia naumwa tumbo mara utasikia leo rafik yang kaniganda ndo nimekuja nae xo nakuwa smuelew kabixsa nimevumilia nimechoka sijui nifanye je?
Anza kuji-do wewe mwenyewe
Anza kuji-do wewe mwenyewe
Hii ungepeleka face book kule ndio kuna vicheche wenzio
Ushakopwa mpaka basi!!!!!!! Mjini hapa! Wajinga ndo waliwao!