BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Mar 11, 2013 #21 kwani lazima uwe na huyo mtu? Kuna faida gani ya kuwa na mtu lakini daily unasononeka? Maisha mafupi shaurilo
kwani lazima uwe na huyo mtu? Kuna faida gani ya kuwa na mtu lakini daily unasononeka? Maisha mafupi shaurilo
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Mar 11, 2013 #22 Kukua kazi Mie kuna mmoja alinihakikia anaachana na mmewe sababu anam-abuse, baada yaa miezi 3 nikamkuta ana mimba. Nikaapa sitakaa nitoe ushauri kwa wanandoa. King'asti said: kwani na wewe kila saa lazma uwe umeolewa ama una mwanaume? jiimarishe kiuchumi usepe. otherwize mtoe moyoni. ndo alivyo hiyo; mkewe angekuwa hai angekuthibitishia hili. usije ukafa na wewe na presha! jipange, ukimfumania tena unasepa mazima. Click to expand...
Kukua kazi Mie kuna mmoja alinihakikia anaachana na mmewe sababu anam-abuse, baada yaa miezi 3 nikamkuta ana mimba. Nikaapa sitakaa nitoe ushauri kwa wanandoa. King'asti said: kwani na wewe kila saa lazma uwe umeolewa ama una mwanaume? jiimarishe kiuchumi usepe. otherwize mtoe moyoni. ndo alivyo hiyo; mkewe angekuwa hai angekuthibitishia hili. usije ukafa na wewe na presha! jipange, ukimfumania tena unasepa mazima. Click to expand...
Tetra JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 1,526 Reaction score 771 Mar 11, 2013 #23 :: Chui haachi rangi ya ngozi yake. Kama huwezi kumbadili,,badilika wewe. =
M mzee wa nguna Senior Member Joined Dec 5, 2012 Posts 138 Reaction score 139 Jan 24, 2014 Thread starter #24 Tetra said: :: Chui haachi rangi ya ngozi yake. Kama huwezi kumbadili,,badilika wewe. = Click to expand... Asanteni kwa ushauri wadau. Mdada alifanikiwa kusepa hatimaye,na kaamua kuwa singo
Tetra said: :: Chui haachi rangi ya ngozi yake. Kama huwezi kumbadili,,badilika wewe. = Click to expand... Asanteni kwa ushauri wadau. Mdada alifanikiwa kusepa hatimaye,na kaamua kuwa singo