Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

Kusahau na neno miga
 
Wewe utakuwa ni kichaa, gharama zilizotumika kwenye huo mradi ni zaidi ya 10T ambapo kwenye gas na makaa ya mawe tungeweza kutumia si zaidi ya 2T hizi 8T zingejenga lami zaidi ya 8000Km hata kijijini kwa babu yako wangepata barabara ya lami.
 
Umezuiwa sasa hivi kutumia hizo 2T kwenye gesi?
 
Kwa bahati mbaya, madhara na faida za Hydro-electic generation against other sources wengi hawayajui na ukweli ni matumizi za mabwawa ya kujenga kujenerate umeme yana madhara mengi kimazingira na huwezi kutemea mabwawa kwa muda mrefu. Okay hili linakaribia kuisha ila baada ya kipindi kifupi sana tutaingie tena kwenye kutafuta mbadala wa hili bwawa ili kupata umeme wa kutosha. Kama nchi inapaswa sasa kuanza kuatafuta vyanzo mbadala sasa na sii kesho.
 
Wewe utakuwa ni kichaa, gharama zilizotumika kwenye huo mradi ni zaidi ya 10T ambapo kwenye gas na makaa ya mawe tungeweza kutumia si zaidi ya 2T hizi 8T zingejenga lami zaidi ya 8000Km hata kijijini kwa babu yako wangepata barabara ya lami.
Kuongea mitanadaoni ni Rahisi lakini siyo halisia.
 
Ingekuwa rahisi hivyo Samia asingepoteza pesa nyingu kugharaiama umeme wa joto jua amabao ni expensive
 
Bwawa la Mtera lina miaka mingapi tangu liundwe?
 
Bwawa la Mtera lina miaka mingapi tangu liundwe?
Etwege, Bwawa la Mtera lilijengwa kwa ajili ya kustore maji kwa ajili regulate flow to Kidatu etc wakati wa kiangazi. Sii kwa ajili ya kuzalisha umeme as such. Waliweka just small generators pale kwa ajili ya matumimizi yao na majirani wa pale. Tatizo lilipoanza kujitokeza kwenye ile catchment areas from Mbeya, Iringa na maji kupungua ikawalazimu hata kile kidogo kisambazwe kwenye grid. Mbwawa lile limejaa matope. For more information waulize watu wa TANESCO watakueleza. Shida kubwa bwana Utwege, ni hii mabwawa yanategemea sana Catchement area ni nini kinawendelea kule kama ni hiki kilimo chetu, over grazing mnavofanya, kukati miti n.k. Mabwawa hayawezi kuwa sustainable kabisa huo ndio ekweli mchungu. Nchi yetu inageuka jangwa kwa kuchekelea ufugaji usio wa viwango na kilimo holela na ukataji wa miti. Sijui waliokimbia Shinyanga na kukimbilia katavi, Rukwa, Ifakara, Malinyi, Mbuga za Selous, Lindi nk. nako wakimaliza kukata miti yote watakimbilia wapi?
 
Bwawa la Kidatu lina miaka mingapi tangu liundwe?
 
Ni bora mradi umeanza kufanya kazi hela zetu tunaziona tutarejesha kidogo kidogo tukifaidika wote. Je fedha hizi kama zingeenda mifuko ya wajanja mgao ungetuua na uchumi ungeshuka zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…