Kila nikikumbuka visa vya Mama Mwenye Nyumba, Kanyenye (Tabora) sirudi tena

Gonorrhea haiishi kwa mtindo huu.,, Magonjwa Mungu ambayo alishayafuta kwenye ramani ya dunia watu kama nyie ndo mnayarudisha..!!!
 
Hahahahaa sitasahau siku moja tukutuku tuko na wasichana wa girls tunafuata maji.aisee walambo walitutoa ndukii
. I missed those days lol..
Hii story niliwahi kuisikia, sema kipindi chetu tulipokuwa kona za uboizin maji tulikuwa tunafuata kariakoo, mwanzoni nilikuwa lofa kinoma namwaga maji njiani ili nirudi kariakoo kuchota maji huku nikisindikiza woso
 
Sio kweli
 
mama naomba unipende kama nilivyo mi msela...usinikatae. avatar yangu isikutishe mama...utafurah mi nakwambia utafurahia kweli. ni pm basi. mimi i mgumu usoni lakini kimatendo maeneo flan ni bishoo. nicheck basi huko pembeni tumalizane...sisi sote ni kitu kimoja, haina haja kunyimana maoni na ushauri.

badilisha avatar kwanza
 
njoo wewe pm lakini na share Acc na babe wangu B Kubwa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…