Kila mtu ana kipaumbele chake katika mapenzi!

Mkuuu chukua soda kwa mangi hapo
 
Najua unamjua Justin Timberlake, sasa yule jamaa kipaumbele chake ni sex mwanzo mwisho, alikuwa anampiga dudu Britney Spears popote atakaposikia.
Ilifika kipindi Britney Spears akawa havai chupi kurahisisha shughuli!.
Hayo yote alikuja sema Britney Spears mwenyewe baada ya rehab (walipoachana alivurugika kwa kukosa starehe walokuwa wanafanya muda wote)
Kupenda sex muda wote au kumjali afurahi muda wote havina uhusiano na KUKOJOZA!.
Point ni hapo kwenye RED tu!
 

Mmoja mwenye akili kama hizi kati ya wengi
 
Kipaumbele Cha Kwanza cha Mwanaume ni Kupiga Miti,. Hivyo Vingine Mbwembwe tu
 
Hua natafuta mwanamke anaependa kuambiwa anapendwa kama wewe hasa kama nnampenda kwa dhati

Huyu wa saiv anaona kama namsumbua ingawa nnampenda sana na yeye saiv haoneshi kunihitaji najitahidi kumove on nashindwa na yeye kagundua
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…