Seconded Mkuu.
Wanaume wengi pia hawajui matatizo wanayoyapitia ni sababu ya watoto waliowakataa au wanaowakataa.
Huwezi kumkataa mtoto wako ukabaki salama hata siku moja. Kubali ukatae.
Mwenye ufahamu na afahamu.
Wanaume kamwe hatuyakimbii majukumu shida ipo kwa wavulanaWanaume mpo? Ujumbe wenu huu muufanyie kazi muache kukimbia majukumu yenu.
mda mwingine mazazi mwezio anataka kukuendesha kwa kutumia mtoto nikujiweka pembeni apambane na hari yakeHabari wanajamvi,
Nimeona tu bora nifungue uzi huu. Najua kila mtu ana maisha yake ,misimamo anayoisimamia na Imani yake.
Lakini tuje kwenye hili swala la Single parenthood na jinsi kasi ilivyokua kubwa. NImesema ParentHood ili kuondoa ubaguzi lakini sana ni Single mother hood (Kwa sababu ni ngumu kwa mama kumtelekeza mtoto zaidi ya baba kumtelekeza).
So, Kuna Condoms, Abstinence (only so you can achieve Things before you come to sex) ,Choose a partner well before sex na kikubwa TUMIA AKILI BEFORE SEX!!
Inasikitisha sana unamvua mtu nguo, unampa mambo kiroho safii na sasa tunda la tendo lenu linapokuja unakimbia mita 468.9875 kwa saa!!?
Wote tumezaliwa na wazazi, haikuwa kazi ndogo kwao kutukubali, kutupokea, kutulea hadi tumekuwa wazima BUT By God they did it! Mungu ndiye anayeumba na kutuweka hai. Kweli tunathubutu kusema sina uwezo wa kumlea huyo mtoto? Wengine wanasema inawezekana si wangu (Kwani uliyemfunua alikuwa wako? Si uliona poa tu?).
Mi nnachoomba ndugu zangu, hasa wanaume wenzangu; Tuoneni huruma hili wimbi wa watoto wenye mzazi mmoja. Mwisho wa siku hii Dunia tunapita tu, hatutakaa miaka mingi. Wazee waliposema kitanda hakizai haramu hawakuwa wajinga.
Kama ulikipanda kitanda tafadhali LEA. Pia ukakutana na mwanamke mzuri ukampenda mwenyewe na ako na mtoto pia LEA, utakuja kubarikiwa huko mbele kwani si kosa la huyo mtoto. Na ukikuta watoto kwenye ndoa usiwatese kwa sababu kama ni kosa ni la huyo uliyempenda.
Naomba kuwasilisha.
Love is not sex and sex is not love.Habari wanajamvi,

Love is not sex and sex is not love.
you can have sex with someone whom u dont love wengi ni njaa tu unagonga na kusepa motokeo ndo kama hayo unayazungumzia
wajua mara nyingi imetokea wanaume kubambikiwa....hii inapelekea kuwa na hofu sana,,,,ila sio vema kukataa mtoto,, ni malaika - zawadi kutoka kwa Mungu tuwalee....